Nyani Ngabu tangu lini na wewe umeanza bifu na dadangu Jide?
Wale wanafuata starehe tu,ambayo inatolewa bure!hawaifuati Clouds...wengine wanataka kumuona Ben pal au godzila..ni passion ya muziki,si mapenzi kwa wamiliki..tofautisha haya mambo!!
Dhulumati wamemdhulumu nani, wapi, lini, na nini?
Siko upande wa yeyote ila Jide angekubali tu kuyamaliza kimaongezi kama Ruge alivyosema kwenye interview yake PB.
Hoya majomba . . . iko nhivi, nilionana na Jide na Gardener Saturday. Ile part 2 ya Wosia wake ingewaacha wazee wazima pabaya na aibu kubwa sana. So, the trick is to shout her mouth via mahakama.
Toka lini kesi mpya za madai TZ ikafunguliwa Alhamisi then Jumatatu isikilizwe? With makesi yaliyopo mahakamani?
Of course Ruge & Joe watashinda cause they are clear let bygone be bygone. The lady also knows she may loose but she is preapared.
Kuna wanaosema ana fluctuation ya madeni ya benki wamemshika pabaya, nobody knows.
The Lady, Jide her her plan B and C and D. So she is still Ok. She also have support of 3 Media Houses united, leave aside "Women Movements" and Sympathizer!
Ninachojua both Clouds & Jide wako karibu na Mkulu na Chama, so 95% chance is that, this beef itaisha and the lady was kind of open minded for reconciliation offered by Makala. Ruge naye alikubali maana anajua wangeumbuka. The Gal has all the data according to her.
Cha msingi ni wakae wayamalize na kumaliza ubabe ambao hauna tija kwa taifa wala wao wenyewe.
Tena kesi amepewa Nyamlani..yule jamaa wa TFF na rafiki wa kina Joe...baada ya Tamasha la "Made in Tanzania" lililoudhuliwa na Waziri Mkuu!kutofautisha unyonyaji wa Clouds na Ma-CCM ni ngumu sana
Dhulumati wamemdhulumu nani, wapi, lini, na nini?
Sina bifu naye. Ni kwamba tu naona kanunua bifu ili kupromoti album yake mpya.
Sasa ili apate free publicity akaamua ku pick fight na Goliath, so to speak.
Kwa vile Clouds ni chama kubwa nadhani calculations zake ni kwamba umma utamuonea huruma, utakuwa upande wake, na kununua album yake mpya.
Her beef ain't genuine. It's phoney baloney coconut bacon.
Sina bifu naye. Ni kwamba tu naona kanunua bifu ili kupromoti album yake mpya.
Sasa ili apate free publicity akaamua ku pick fight na Goliath, so to speak.
Kwa vile Clouds ni chama kubwa nadhani calculations zake ni kwamba umma utamuonea huruma, utakuwa upande wake, na kununua album yake mpya.
Her beef ain't genuine. It's phoney baloney coconut bacon.
stupindlly!
Hayo ni mawazo yako sifikiri anafanya hivyo ili jamii imuonee huruma,unakumbuka bifu la Sugu na hawa jamaa,kiukweli Jide kawashika vibaya sababu hawa jamaa wanawanyonya wanamuziki wa kibongo sana huu ni wakati wa mapinduzi ile dhana kula nami nile ndio inayotakiwa sio ule wewe makapi ndio unipe mie.
Big up Jide we are behind you sis!