Kama kusaga ana say ya mwisho ilikuwaje Wasafi walikuwa wanapiga Ngoma za jide wakati jide alikuwa na beaf na kusaga na clouds fm kiujumla?Mkuu mtu mwenye majority shares ndio final. Hata kama kampuni umeianzisha wewe.
Sheria ya makampuni iko hivyo.
Swali la pili kama kusaga ni final say kwanini wafanyakazi wengi wa pale Wasafi walioajiliwa wanakuwa ni fans wa diamond au wenye ukaribu na diamond na wengine ni ndugu wa Diamond mfano Ricardo momo, juma lokole,Romy jones,Diamond tweets, luakamba, Amani madebe , Didah shaibu,Issa Platnumz n.k
Swali la tatu kipindi harmonize yupo Wcb Ngoma zake zilikuwa zinapata airtime kubwa Sana Wasafi media kwanini sasa hiv hayupo Wcb hapati airtime hiyo kama mwanzo kama kusaga ndio final say?
Swali la nne kama kusaga ni final say kwanini Ngoma za Wasafi zinapewa kipaombele Sana Wasafi media na promotion kuliko wasanii wote ikiwemo msanii pendwa wa kusaga nandy?
Swali la tano kama kusaga ni final say kwanini Ngoma za Rama dee zinapigwa Wasafi media ikiwa Rama dee ana beef zito na kusaga na clouds.
Naomba niashie hapa nitaongeza maswali mengine ukijibu kwanza hayo
Mkaruka
joseph1989
Chige
Slowly
Tempus Fugit