ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 502
- 535
Labda nijitambulishe kuwa mimi ni mdau wa Lugha ya Kiswahili na mpenzi wa hiki kituo cha Redio.
Kwa kweli nakereka mno na watangazaji wa kipndi cha michezo cha Redio hii akina Edgar, Lwambano, Jeff na wengine kutuchanganyia lugha.
Sielewi kwa nini wasitumie lugha moja tu? Amueni lugha ya kuendeshea kipndi chenu iwe ipi? Kuchanganya lugha ni ishara kuwa ninyi hamzifahamu lugha hizo vilivyo?
Hebu jisikieni fahari kuiongea na kuitumia lugha hii kwenye matangazo yenu!