Clouds FM inaniibia

Clouds FM inaniibia

of course huu ni utata mkubwa........najua wajinga ndio waliwao lakini sio kila anayeliwa ni mjinga....
This is very common...mara unaambiwa tuma sms kwa namba fulani..duh sms yenyewe costs ten times more than the normal charges. hayo mambo yenu ya kusubscribe to this and that number ndio unaliwa pesa bure. babangu kasubscribe sijui entertainment news by mistake ..mambo ya wazee hayo anacheza cheza na simu mara kila siku anatumiwa news about movies, sijui which artists is performing where....ahahhahha sasa mzee maskini yuko mashambani hukooooo za movie hanazo.. and of course kila sms inakula pesa. they never tell u how to unsubscribe mpaka ufunge safari kwenda huko kwa customer care....calling them might not even work! pole lakini uliyataka mwenyewe!
 
namba zenyewe ni +15556 kila wakati najaribu kujiondoa lakini inashindikana....muda wote naambiwa ''unable to send message''

[quote=Shishi;579320]This is very common...mara unaambiwa tuma sms kwa namba fulani..duh sms yenyewe costs ten times more than the normal charges. hayo mambo yenu ya kusubscribe to this and that number ndio unaliwa pesa bure. babangu kasubscribe sijui entertainment news by mistake ..mambo ya wazee hayo anacheza cheza na simu mara kila siku anatumiwa news about movies, sijui which artists is performing where....ahahhahha sasa mzee maskini yuko mashambani hukooooo za movie hanazo.. and of course kila sms inakula pesa. they never tell u how to unsubscribe mpaka ufunge safari kwenda huko kwa customer care....calling them might not even work! pole lakini uliyataka mwenyewe![/quote]
 
meseji kibao huwa napata kutoka kwa wajinga wengine wa namna hiyo lakini huwa wanakuwa specific katika cost zao...sasa hawa wazushi hawakuandika kama kuna gharama............breaking news zao nakuwa tayari niliishapata muda mrefu kabla.........
najua usawa haupatikanim kwa mzani kuwa sawa.....ilinategemea na mpimaji mwenyewe.......nimevumilia nimechoka
Mdau Jile 79 we mwenyewe ulifanya makosa kujiunga na huduma kama hiyo eti sms neno kwenye namba uwe wa kwanza.Tena ina jingle lake zuuri mi huduma za namna hiyo huwa sijiungi na huduma kama hizo kwani ni wizi mtupu.Je hawajatoa namba ya kutuma kam unataka kujiondoa ili waache kukutumia kwani hiyo ni biashara hizo pesa unazokatwa zinabadilishwa kuwa fedha na wanashirikiana na voda.
 
thanx!!!!!!!!!!!
This is very common...mara unaambiwa tuma sms kwa namba fulani..duh sms yenyewe costs ten times more than the normal charges. hayo mambo yenu ya kusubscribe to this and that number ndio unaliwa pesa bure. babangu kasubscribe sijui entertainment news by mistake ..mambo ya wazee hayo anacheza cheza na simu mara kila siku anatumiwa news about movies, sijui which artists is performing where....ahahhahha sasa mzee maskini yuko mashambani hukooooo za movie hanazo.. and of course kila sms inakula pesa. they never tell u how to unsubscribe mpaka ufunge safari kwenda huko kwa customer care....calling them might not even work! pole lakini uliyataka mwenyewe!
 
god bless u!!!!!!!!!!!!!!!
Simu ni yako, hawezi mtu kukuzuia kujaribu kubonyeza namba yoyote au kujiunga na huduma yoyote anytime. Cha msingi ni pale unapogundua umejiunga na service ya hovyo na huihitaji tena iwepo njia ya kujitoa. Nyingi ya hizi huduma hawaweki option ya kujitoa maana hawataki mtu atoke. But this is wrong.

Nashangaa operators wako kimya na swala hili na huku wakijua fika kwamba it's against their license operational requirements. Na TCRA wana kitengo mahsusi kazi yake ni kuhakikisha consumers wanatendewa haki au wanapata huduma bora from the operators.

Nakushauri nenda kwa operator (in this case Voda) open a formal complaint na wakupe evidence (something in writing for furthe follow up). Kisha nenda karipoti hiyo ishu TCRA (watahitaji hiyo evidence). TCRA itawafuatilia kisheria.

Pole! ni mlolongo mrefu lakini bila kufanya hivyo tutabaki tunalalamika tu na ishu haitakuwa solved. Ni wakati sasa watanzania tuanze kushupalia kudai haki zetu.

Mfano mwingine ni hizi promotional sms zinazotumwaga kwenye simu (has kutoka Tigo) wakitangaza mahuduma yao. Sio sahihi maana hatuja consent wote kupokea hizo sms. Nimesharipoti huko TCRA lakini bado naona wanasubiri wapate complaints nyingi zaidi (sijui?). Twendeni tukadai haki zetu. TCRA ipo kukutumikia lakini bado haijui(?) na sisi tumekuwa wapole mno (?). Tuamke sasa.

Wabongo watakuambia 'ah huo usumbufu wote wa nini, si ntatupa chip ninunue ingine?' - it's your choice! tusumbuke leo kwa manufaa ya vizazi vijavyo!
 
Napenda kutoa malalamiko yangu kupitia tovuti hii makini naamini kuna wana Clouds watanifikishia ujumbe huu.

Kuna ujumbe wanatuma kupitia simu ya kiganjani ambayo huwa imetoka Clouds kwanza +15556.

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitumiwa hizi meseji bila kujua, baadae nikabaini kuwa kila nikitumiwa meseji moja nakatwa Tsh.350,000.

Kinacho niudhi ni meseji zenyewe za kijinga tu.

Jile79, pole sana kwa usumbufu uliopata.

Nimefuatilia hii thread kwa karibu and I wish I could have seen it long before niweze kukusaidia mapema. Ila sio mbaya sana nadhani bado sijachelewa - let me give you a clear solution for what you are facing....

Kwanza kabisa, hapa hakuna wa kumlaumu zaidi ya wewe mwenyewe binafsi, maana wewe ndie uliyejiunga kwenye hii huduma. Tatizo ni kwamba Clouds FM hawajaweka bayana ni jinsi gani ya kujitoa, au ni namba gani upige kwa ajili ya msaada - hii ni technique ya kushikilia wateja and make money - which of course is not a good idea!

Kuna kitu kinaitwa VAS : Value Added Service. Hii ni huduma inayotolewa kwa watumiaji wa mtandao wa simu (mara nyingi) na kampuni tofauti na ile inayomiliki mtandao wa simu - for this case Clouds FM.

Clouds FM, kama VAS lazima wawe na makubaliano na mtandao husika ili kuweza kutoa huduma. Ni lazima kuna makubaliano kati ya Clouds FM na mtandao wako wa Vodacom. Kama kuna mtu ulimpigia akasema Vodacom hawahusiki na hayo mambo - ni wazi kwamba hukupiga kwa mtu husika and she/he is misinformed.

Ntakupa e-mail address ya Assistant Head VAS wa Vodacom - she will definitely assist you out of this. Ntakupa kwenye PM as it wouldn't be unethical to put someone email in a public forum.

Pia, lazima ufahamu kuwa hizi message they come outside vodacom. Vodacom only conduits traffic between you and Clouds FM. To terminate your subscription you would still need to do it from Cloud FM servers, which this guy at Vodacom can communication with Clouds to resolve it for you.

Cha msingi this lady is Indian and cant speak swahili - hope you know what I mean.

Best of luck
 
haya madubwasha ni mtandao wa vodacom kaka....nisaidie namba yao.....najua kuwa ''USAWA HAUPATIKANI KWA MZANI KUWA SAWA...ILA INATEGEMEA NA MPIMAJI MWENYEWE''

Kama Voda Customer service wanagoma kukusaidia basi hama mtandao badili namba mbona mitandao ni mingi tu.

Hili hata mimi lilikuwa linanipata huku kwa wenzetu, ni lazima kuwe na option ya kutoka out kama hukuridhika vinginevyo huo ni wizi wa kulazimisha

Mimi nilijisajili kwenye internet nikaambiwa niingize namba ya simu ili wanitumie confirmation password. Ili niwe na access na music dowloads na milio ya simu, basi toka nilivyofanya hivyo wakawa wananikata kama Tshs 15,000 za bongo ukitranslate na currency ya subscription, na kila music dowload wanakata Ths 5,000. Sasa kilichoniacha hoi ni kwa software yao hata kama usipodowload music wanakutumi msg every day especially ukiwa na credit kwenye simu kuwa umedowload miziki minne na wanakata Tshs 20,000 translated to bongo money.

Nilichofanya niliwapigia customer services nikawaambia wastop au nahama mtandao, wakaniambia kuwa huyo ni third party nimeingia naye makubaliano cha kufanya wakanitumia namba na kuniambia ni send sms "STOP ALL" kwenye hiyo namba kama watakata tena wao watanirudishia, toka siku hiyo hawajachukua hata senti moja.

Ninachotaka kusema hapo ni Kwamba Vodacom wameingia makubaliano na huyo third party, ni lazima wawe na jinsi ya kumprotect customer wao, pindi akiwalalamikia, kama hawawezi "ACHANA NA VODACOM"
 
I beg to differ with you Ramthhods;

Vodacom customers have a direct interface with Vodacom only for all the offers Vodacom has. Vodacom should understand that whatever they contract they enter with a third party for provision of services is done properly to fullfill the requirements of their customers and they should be liable for everything that comes out of it. That's why their customers wouldn't have a Clouds FM's customer support line for this service.

Just to remind you; Vodacom contracts so many vendors for different services - just like any other operators. If we were to call all the vendors for support on the differnt products, life would be a total mess!

There's no way operators can take away the responsibility of the products & services they provide. They are not a pipe (or a conduit as you call them) for anything but providers! They are obliged to resolve all problems reported to them, if you don't get proper answers follow them up - know that the call center calls are recorded and can be retrieved as evidence if you were treated improperly. Know your right today!
 
Kama Voda Customer service wanagoma kukusaidia basi hama mtandao badili namba mbona mitandao ni mingi tu.

Hili hata mimi lilikuwa linanipata huku kwa wenzetu, ni lazima kuwe na option ya kutoka out kama hukuridhika vinginevyo huo ni wizi wa kulazimisha

Mimi nilijisajili kwenye internet nikaambiwa niingize namba ya simu ili wanitumie confirmation password. Ili niwe na access na music dowloads na milio ya simu, basi toka nilivyofanya hivyo wakawa wananikata kama Tshs 15,000 za bongo ukitranslate na currency ya subscription, na kila music dowload wanakata Ths 5,000. Sasa kilichoniacha hoi ni kwa software yao hata kama usipodowload music wanakutumi msg every day especially ukiwa na credit kwenye simu kuwa umedowload miziki minne na wanakata Tshs 20,000 translated to bongo money.

Nilichofanya niliwapigia customer services nikawaambia wastop au nahama mtandao, wakaniambia kuwa huyo ni third party nimeingia naye makubaliano cha kufanya wakanitumia namba na kuniambia ni send sms "STOP ALL" kwenye hiyo namba kama watakata tena wao watanirudishia, toka siku hiyo hawajachukua hata senti moja.

Ninachotaka kusema hapo ni Kwamba Vodacom wameingia makubaliano na huyo third party, ni lazima wawe na jinsi ya kumprotect customer wao, pindi akiwalalamikia, kama hawawezi "ACHANA NA VODACOM"

Vodacom kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao wasikulazimishe kuachana nao. Wanatakiwa watoe huduma nzuri inavyotakiwa, wewe mteja ndio uamue kukaa nao au kuwaacha kwa sababu zako za msingi za kiuchaguzi. Wao wakishindwa kukupa huduma nzuri "WAACHANE NA WEWE". Sisi ni wateja na ndoto ya mteja ni mfalme lazima itimie kwa vitendo.
 
inawezekana kweli ni uzembe wangu............naamini ni wizi wa voda kwani hawakuniambia kuwa ntakuwa nakatwa gharama kiasi gani.....ndugu yangu habari zenyewe nakuwa tayari niliish zisikia muda ndo napata ujumbe wao...
Mdau Jile 79 we mwenyewe ulifanya makosa kujiunga na huduma kama hiyo eti sms neno kwenye namba uwe wa kwanza.Tena ina jingle lake zuuri mi huduma za namna hiyo huwa sijiungi na huduma kama hizo kwani ni wizi mtupu.Je hawajatoa namba ya kutuma kam unataka kujiondoa ili waache kukutumia kwani hiyo ni biashara hizo pesa unazokatwa zinabadilishwa kuwa fedha na wanashirikiana na voda.
 
thanx mdau kwa maelezo yako na hiyo PM nimeshaipata from jf ntaifanyia kazi.....
wako ktk ujenzi wa nchi
jile79.......
Jile79, pole sana kwa usumbufu uliopata.
Nimefuatilia hii thread kwa karibu and I wish I could have seen it long before niweze kukusaidia mapema. Ila sio mbaya sana nadhani bado sijachelewa - let me give you a clear solution for what you are facing....

Kwanza kabisa, hapa hakuna wa kumlaumu zaidi ya wewe mwenyewe binafsi, maana wewe ndie uliyejiunga kwenye hii huduma. Tatizo ni kwamba Clouds FM hawajaweka bayana ni jinsi gani ya kujitoa, au ni namba gani upige kwa ajili ya msaada - hii ni technique ya kushikilia wateja and make money - which of course is not a good idea!

Kuna kitu kinaitwa VAS : Value Added Service. Hii ni huduma inayotolewa kwa watumiaji wa mtandao wa simu (mara nyingi) na kampuni tofauti na ile inayomiliki mtandao wa simu - for this case Clouds FM.

Clouds FM, kama VAS lazima wawe na makubaliano na mtandao husika ili kuweza kutoa huduma. Ni lazima kuna makubaliano kati ya Clouds FM na mtandao wako wa Vodacom. Kama kuna mtu ulimpigia akasema Vodacom hawahusiki na hayo mambo - ni wazi kwamba hukupiga kwa mtu husika and she/he is misinformed.

Ntakupa e-mail address ya Assistant Head VAS wa Vodacom - she will definitely assist you out of this. Ntakupa kwenye PM as it wouldn't be unethical to put someone email in a public forum.

Pia, lazima ufahamu kuwa hizi message they come outside vodacom. Vodacom only conduits traffic between you and Clouds FM. To terminate your subscription you would still need to do it from Cloud FM servers, which this guy at Vodacom can communication with Clouds to resolve it for you.

Cha msingi this lady is Indian and cant speak swahili - hope you know what I mean.

Best of luck
 
thanx mkuu........imagine this,vodacom have more than 3mil.costomers accross the country and it is believed to be the tanzanias leading cellular network.suppose out of them 2mil.voda customers join clouds kwanza in this case and every day every clouds kwanza gets a message and is charged tsh.350/=.can you imagine how much these people earns softly and sweatless while just sitting and cricking the computers?
any service which requires subscription but does not indicate as to how the subscriber can unsubscribe is a great and unacceptable theft
Together we build tha nation

Back
Top Bottom