Clouds FM acheni Utoto

Awaoni aibu kampun nzima wanaweka bifu na mdada mmoja...! This is shame...

Mdada ndo kaweka bifu dhidi yao wala hawana time naye wako busy na kiwanda cha burudani bongo. Huyo gumegume ndo yuko busy kuwaimbia nyimbo za mipasho wakati wao washam-delete na kutupa kwenye dust bin.
 
Na kweli wawapige mawe,maana ni USIA WA MAREHEMU HUO
 

#Nazdaz tatizo la hawa vijana wa fb ni kupenda kushadadia mambo wasiyoyajua. Muda wote wanawaza siasa tu matokeo yake wanapeleka siasa hata kusikostahili. Kulalama na kulalamika ndo imegeuka kuwa jadi ya Mtanzania. Basi wameamua kuchagua maisha ya kulalamika ni bora wakawa wakweli kwa kila upande badala ya hizi ngonjera za double standards tunazoziona humu kila siku.

FidQ alikua na kipindi pale EATV sijui kimeishia wapi lakini nakumbuka kwenye wimbo wake kachana ukweli kuwa, HAKUNA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, BALI KUNA UHURU WA MWENYE CHOMBO CHA HABARI. KAMWE IPP HAIWEZI KUMPINGA MENGI. Nadhani hakumlenga mengi kama mengi bali alimtolea mfano kuwa vyombo vya habari vipo kwa ajili ya wamiliki wake na sio wananchi. Kwahiyo hizi ngonjera za kuwa mnakuja hapa kushambulia MEDIA Moja ni vyema mkaachana nazo kwani huu ni mfumo na sio suala la mtu binafsi. Na utakapoamua kulielezea ni bora ukawaambia wamiliki wote wa vyombo vya habari kuanzia IPP,CLOUDS GROUP, SAHARA, UHURU, MAGIC,TIMES,MAWIO, TANZANIA DAIMA, NIPASHE nk.
 
Last edited by a moderator:
media ya wahaya hyo mi yananikera jana lile limwanamke linaanza kumpondea j be yaani hawa ndio wanadiscourage wasanii wapuuzi nina mashaka na cv kama wadau msemavyo
 
Mtu mwerevu mwenye akili zake timamu hawez kuiskiliza clouds wala kuitizama.. Cause imejaa mitoto ya uswaz iliyokosa nizamu
 
Mnajua maana ya usia nyinyi au mnapiga kelele? Mhusika yupo kimya nyinyi mandondocha mnawashwa
 

Hawa clouds ni wajinga tu,
 
Last edited by a moderator:
Mada inahusu utoto unaofanywa na clouds ila watu wanajadili beef la clouds na Jay dee.
 
Ukitaka wakuroge wakumbushe kuwa Wakati Lady Jdee ameandaa tamasha lake la kuadhimisha miaka 13 ya muziki wake, Eti na nyie CLOUDS mliandaa show the same day eti hali ilikuwaje kwenye show yenu?
Wakikujibu basi mimi kuanzia leo namuunga mkono ASUMPTA MSHAMA agombee Urais wa Tanzania.
 

Kwani tatizo liko wapi na kila mtu anaujua ukweli kuwa Jide alijaza nyomi nyingi iliyochangiwa na bifu lile? Zile zilikua ni huruma za wananchi kwani bifu lilikua hot. Kamuulize siku hizi Band yake imefia wapi au ule Mgahawa wa MOG wateja wamekimbilia wapi?

Jitahidi wkend uende pale japo ukakae hata masaa 2... hadi anatia huruma.
 
Mtu mwerevu mwenye akili zake timamu hawez kuiskiliza clouds wala kuitizama.. Cause imejaa mitoto ya uswaz iliyokosa nizamu

Media inayodeal na burudani we ulitegemea iwe na watangazaji wa namna gani? Au ulitaka akina Kikeke na shaaban kisu wakatangaze xxl? Hahahaha chuki zikizidi huondoa maarifa.
 
media ya wahaya hyo mi yananikera jana lile limwanamke linaanza kumpondea j be yaani hawa ndio wanadiscourage wasanii wapuuzi nina mashaka na cv kama wadau msemavyo

Ukabila wenu pelekeni IPP huko kwa wachaga. Pale Clouds hakuna ukabila hizo chuki zako tu... leta fact kuthibitisha upuuzi wako.
 

kwa nn aliongea hayo??? kosa ni la nani?? ukiona mtu kafikia hatua ya kutoa kaulo hizo lazima ujipime ulichomkosea mlalamikaji huenda walimfanyia kitu mbaya sna dada wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…