Hapa hakuna anayekomeshwa bali wanafuata amri ya mhusika! Hapa nimeuliza mara kadhaa, hivi ni wasanii wangapi wamewahi kufuta mistari ya msanii mwenzo baada ya kuingia nae kwenye bifu? Huyu Jide na Mwana-FA wana bifu vile vile, so what if ikiwa hata Mwana-FA nae hajiskii furahaa kusikia sauti ya Jide kwenye nyimbo zake? That's one but more important, nyie watu msijitoe ufahamu... msijifanye hamkuyasikia yale matusi ya Jide... sasa pale option ni moja tu, ama usipige kabisa nyimbo ambazo zina sauti ya Jide au u-mute sehemu alizoimba yeye! Kimsingi, haiingii akilini kutpiga nyimbo za msanii mwingine kwa sababu tu kuna sauti ya Jide... hiyo itakuwa kutowatendea haki hao wasanii! Lakini uki-opt kutopiga vipande vyaa Jide, jambo la kutopiga wimbo mwanzo hadi ni mwisho ni la kawaida sana studio... mara nyingi tu kila leo nyimbo zimekuwa zikipigwa verse moja na kuhamia kwenye wimbo mwingine... ni kawaida sana sehemu za wimbo kuwa muted kwa sababu yoyote ile kv matumizi ya lugha isiyofaa n.k kwahiyo suala la ku-mute kipande cha wimbo ni cha kawaida.... msikuze mambo! Ingekuwa mnampenda sana Jide mngekuwa mnamshauri aache jeuri lakini wakat ule ndo kwanza anatamba huku mashabiki wake wakimpa kichwa kwamba anaanzisha radio yake... alisahau, na mashabiki wake walisahau kwamba kuanzisha radio station ni kitu kimoja na kuifanya iwe ni station inayobamba ni jambo lingine! Ni miaka miwili sasa... Millardo Ayo ambae wala hatukuwahi kumsikia anapiga kelele ndo tunamuona anafungua studio!Ukishirikishwa kwenye wimbo mwenye mali sio Jide bali yule mwenye wimbo hivyo kukata vipande vya Jide kwenye wimbo amba ameshirikishwa au ametajwa sio kumkomesha JD bali wengine kabisa, just imagine mpaka msikilizaji akihojiwa akionekana kumtaja JDkama ndio star wake unaona wanapeleka faster na kuhamisha agenda, kama taasisi kuna maeneo wanatakiwa waache kama yalivyo na kuacha ile hali tuliyonao sie mfano mie nikiwa na bifu na wewe. Kwenye kutokupiga nyimbo za JD wapo sahihi kabisa naungana mkono na wewe kabisa ila hayo mambo mengine ya kukata vipande vyake kwenye maeneo abayo aeshirikishwa ni kuwaumiza waliomshirikisha
Mtu huisikilizi, ulijuaje kwamba ndani ya dakika 59 kuna matangazo dakika 22? By the way, hivi unafahamu kwamba hapo ndo unaonesha ni namna gani Clouds walivyo juu? Hivi una habari kwamba biashara ya radio ni matangazo? Hivi una habari kwamba dalili ya radio station kukubalika ni kuwa na matangazo mengi?Hakuna media yenye mizengwe kama hii hapa nchini.....
Waache mambo ya kihuni kwenye Professional businesses...
Hivi nani huwa anaisikiliza...? ?
kipindi cha Lisaa (59 Minutes) kuna matangazo dakika 22 (22 minutes):juggle::juggle::juggle::juggle:
Hili la kwamba ku-mute ni kutowatendea haki wasanii wengine nimelizungumzia mara kadhaa! Kwa jeuri na matusi ambayo aliyatoa JD ni ngumu kwa kituo chochote kuruhusu sauti yake iwe kwenye wimbo wote au alioshirikishwa! Sina hakika ikiwa ulifuatilia lile bifu lakini kama hukufuatilia, siwezi kukulaumu! Hao wengine unaowasikia wanaleta hoja zao tena kwa matusi ni wale ambao kwa asili ni aina ya watu wanaojawa inda wakiona wengine wanafanikiwa na wengi wao ni wale ambao wanachanganya siasa na burudani! Kama sio msikilizaji mzuri wa radio labda nikujuze ndani ya Clouds kuna Ephraim Kibonde! Huyu Kibonde ni mtu ambae kinachopita kichwani mwake anakiachia kama kilivyo! Aidha yupo Hando, huyu nae huwa haogopi kusema ukweli! Sasa basi, kwa bahati mbaya kauli za Hando na Kibonde zimekuwa mara kwa mara zikiwakera wafuasi wa chama kimoja wapo nchini! Silika ya watu hawa, ili mradi umeingia maslahi ya chama chako watakuchukia tu...! Miezi ya karibuni hao watu walishaanzisha kampeni eti ya kususia kazi za baadhi ya wasanii kv tu wamejiunga kwenye chama asimu wao! Sie wengine tunaona huu ni ujinga... huwezi kuleta mambo ya siasa kwenye platforms zingine! Ni ujinga kuichukia Clouds eti kv tu baadhi ya presenters wake wamekuwa wakiongea mambo yasiyofaa dhidi ya chama chao... HUU NI USHAMBA!Ila haya ni mabifu ya kiutu uzima tofauti na hayo mengine yapo open sana kiasi kwamba kuyagundua inakuwa kazi kidogo, mie sio mzoefu sana wa kusikiliza radio ila kwa uzi huu ukiangalia comment utagundua kuna ambao wanawachukia kweli clouds bila sababu, kuna wanaowapenda clouds hata kama wamekosea wao wanaona kama wanaonewa alafu kuna kundi lingine wao wanaeleza maoni yao kutoka moyoni kabisa bila ushabiki. Kutopiga nyimbo wapo sahihi tatizo approach wanayotumia ku-deal na JD kidogo ina kushikeri ndio maana kuna watu wanaoiangalia kama taasisi kuna sehemu inatakiwa warekebishe. Wapo sahihi kutopiga nyimbo za JD kwa kuwa msanii ana mgogoro nao tayari na alitaka iwe hivyo lakini pia kupiga wimbo ambao ameshirikishwa JD na kukata kwa makusudi vipande vyake pale hawamtendei haki mwenye wimbo pia hawamkomeshi Jide zaidi ya kuwaumiza wasikilizaji (tatizo wasikilizaji wapo wa aina mbili kuna ambao msimamo wowote wa kituo utakaoonyeshwa wao wapo tayari kuufuata na hawa ndio watafurahia hii hali lakini wale wanaoipenda clouds kwa mazuri yake ikitokea kuna mapungufu wataumia)
Mtu huisikilizi, ulijuaje kwamba ndani ya dakika 59 kuna matangazo dakika 22? By the way, hivi unafahamu kwamba hapo ndo unaonesha ni namna gani Clouds walivyo juu? Hivi una habari kwamba biashara ya radio ni matangazo? Hivi una habari kwamba dalili ya radio station kukubalika ni kuwa na matangazo mengi?
Kwahiyo unakaa kusikiliza XXL halafu unatarajia kusikia habari, au? Hayo matangazo ya kiseng'eseng'e kama yapi?Nilikuwa ninaisikiliza ila sasa hivi nasikiliza MEDIA ZENYE KUJUA KAZI YAO... Ulidhani nikiongelea nisichokijua...???
Tatizo ni ulimbukeni Radio One au Capital wangekuwa wanafanya hivi muda gani wangetoa info za muhimu... Afu matangazo ya kiseng*seng* tu.....
Nilikuwa ninaisikiliza ila sasa hivi nasikiliza MEDIA ZENYE KUJUA KAZI YAO... Ulidhani nikiongelea nisichokijua...???
Tatizo ni ulimbukeni Radio One au Capital wangekuwa wanafanya hivi muda gani wangetoa info za muhimu... Afu matangazo ya kiseng*seng* tu.....
Hahahha...Kwikwikwi nyie wachaga punguzeni ukabila kwenye kila jambo. Jaman hamtaki watu washindane na Mengi? Hili soko huria bana tuondoleeni uhalo wenu hapa. Endelea kusikiliza Radio One yenye kipindi cha Habari za Vifo saa 16 alasiri... teteteh
Msipochanganyikiwa mwaka huu basi tu make naona na Bakhresa kaja speed anampumulia kisogo mungumtu wenu.
Umepanic wewe...
Wachaga wako wapi kwenye hyo statement....
Kama anafanya mambo mazuri ni mazuri tu... Hata akiwa MUHA:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Wasipokua na matangazo we ndo utaenda kulipa mishahara ya wafanyakazi?? Mijitu mingine sijui huwa ikoje, wadhamini wa vipindi wakikata utaiona inakuja kulalama hapa ooh Mawingu wamefulia, wakiwa na wadhamini kama sasahivi hii misukule utaiona inakuja kulalama ooh matangazo yanakela.
Hivi mna ugonjwa gani? Make kinachosikitisha wengi ma-haters ni walewale misukule wa chama fulani cha siasa. Wao kila kitu kibaya, nila kitu kuponda na kutukana ilhali wakitetea kila uhalo ufanywao na mabwana zao.
Nahisi mna matatizo ya kisaikolojia sio bure.
Hili la kwamba ku-mute ni kutowatendea haki wasanii wengine nimelizungumzia mara kadhaa! Kwa jeuri na matusi ambayo aliyatoa JD ni ngumu kwa kituo chochote kuruhusu sauti yake iwe kwenye wimbo wote au alioshirikishwa! Sina hakika ikiwa ulifuatilia lile bifu lakini kama hukufuatilia, siwezi kukulaumu! Hao wengine unaowasikia wanaleta hoja zao tena kwa matusi ni wale ambao kwa asili ni aina ya watu wanaojawa inda wakiona wengine wanafanikiwa na wengi wao ni wale ambao wanachanganya siasa na burudani! Kama sio msikilizaji mzuri wa radio labda nikujuze ndani ya Clouds kuna Ephraim Kibonde! Huyu Kibonde ni mtu ambae kinachopita kichwani mwake anakiachia kama kilivyo! Aidha yupo Hando, huyu nae huwa haogopi kusema ukweli! Sasa basi, kwa bahati mbaya kauli za Hando na Kibonde zimekuwa mara kwa mara zikiwakera wafuasi wa chama kimoja wapo nchini! Silika ya watu hawa, ili mradi umeingia maslahi ya chama chako watakuchukia tu...! Miezi ya karibuni hao watu walishaanzisha kampeni eti ya kususia kazi za baadhi ya wasanii kv tu wamejiunga kwenye chama asimu wao! Sie wengine tunaona huu ni ujinga... huwezi kuleta mambo ya siasa kwenye platforms zingine! Ni ujinga kuichukia Clouds eti kv tu baadhi ya presenters wake wamekuwa wakiongea mambo yasiyofaa dhidi ya chama chao... HUU NI USHAMBA!
Nikirudi why huwezi kuiachia sauti ya Jide kwenye wimbo usio wake! Hapo option ni moja tu... ama usipige kabisa wimbo wowote ambao Jide ameingiza sauti yake au u-mute vipande vya Jide! Kutopiga kabisa ni kutowatendea haki wenye nyimbo zao lakini uki-mute hapo hakuna jipya coz' studio suala la ku-mute au kukata kipande cha wimbo, video or even a film ni jambo la kawaida sana... suala la ku-mute vipande vya Jide sio la kwanza na wala halitakuwa la mwisho... na Clouds sio ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho! Zipo sababu mbali mbali za ku-mute kipande cha wimbo au hata kukiondoa kabisa... Clouds hapa wanatumia moja ya hizo sababu na wala hakuna jipya hapo ingawaje watu wanakuza mambo!
Hakuna media yenye mizengwe kama hii hapa nchini.....
Waache mambo ya kihuni kwenye Professional businesses...
Hivi nani huwa anaisikiliza...? ?
kipindi cha Lisaa (59 Minutes) kuna matangazo dakika 22 (22 minutes):juggle::juggle::juggle::juggle:
Huwezi kuacha kupiga wimbo wa mtu kwa sababu ndani yake kuna sauti ya mtu asiyetaka kazi zake zisipigwe wakati dawa ipo... MUTE! Kwanini wahukumiwe wengine? Ule wimbo watu tunasikiliza maneno ya busara, yaliyoenda darasa kutoka kwa kijana Mwanafalsafa! Sasa wewe unataka yote hayo watu wasisikilize kisa chorus ikiwa muted itaonekana utoto??????!!!!
Ushabiki upo wapi? Ina maana wewe ungekuwa studio usingepiga wimbo wa msanii yeyote kv tu Jay Dee ameingiza sauti yake? Kwanini waathirike wengine kwa matatizo ya wengine? Au ungepiga tu pamoja na matusi yote yale ya Jide? Pamoja na kusema hata akifa Ruge na Kusaga wasithubutu kuja msibani na wakija wapigwe mawe? By the way, huyu Jide si ana bifu vile vile na Mwana FA mmiliki mwenye wimbo? What if ikiwa hata yeye hapendi sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake hasa baada ya kumkashifu na kufikia kumuita MwanaFatuma?Tatizo lako unaongea kishabiki na kutaka kuoneshana ubingwa wa kubishana,wengine hatupo huko kabisa
Kama kweli mnampenda Jide busara ingekuwa ni kumshauri aachane na masuala ya bifu! Kila mmoja anafahamu kwamba, miongoni mwa wasanii wa kike, Jide pamoja na umri wake lakini ndie mpenda migogoro na hata majina yake yanasadifu tabia yake... mara leo Commando kesho Anaconda, sijui anajaribu ku-prove nini! Lakini kwa wenye busara wanafahamu wazi kwamba bifu zake zinam-cost sana!!Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..
Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.
Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.
Ushabiki upo wapi? Ina maana wewe ungekuwa studio usingepiga wimbo wa msanii yeyote kv tu Jay Dee ameingiza sauti yake? Kwanini waathirike wengine kwa matatizo ya wengine? Au ungepiga tu pamoja na matusi yote yale ya Jide? Pamoja na kusema hata akifa Ruge na Kusaga wasithubutu kuja msibani na wakija wapigwe mawe? By the way, huyu Jide si ana bifu vile vile na Mwana FA mmiliki mwenye wimbo? What if ikiwa hata yeye hapendi sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake hasa baada ya kumkashifu na kufikia kumuita MwanaFatuma?
Narudia...ona uonavyo... huwezi kuacha kupiga wimbo mzima kv tu kuna sauti ya Jide... haiingii akilini! Aidha, huwezi kupiga wimbo mzima including kipande cha Jide wakati kila mmoja anafahamu alitangaza hadharani tena kwa matusi na moja ya kauli yake hii hapa:Kama kweli mnampenda Jide busara ingekuwa ni kumshauri aachane na masuala ya bifu! Kila mmoja anafahamu kwamba, miongoni mwa wasanii wa kike, Jide pamoja na umri wake lakini ndie mpenda migogoro na hata majina yake yanasadifu tabia yake... mara leo Commando kesho Anaconda, sijui anajaribu ku-prove nini! Lakini kwa wenye busara wanafahamu wazi kwamba bifu zake zinam-cost sana!!
Ushabiki upo wapi? Ina maana wewe ungekuwa studio usingepiga wimbo wa msanii yeyote kv tu Jay Dee ameingiza sauti yake? Kwanini waathirike wengine kwa matatizo ya wengine? Au ungepiga tu pamoja na matusi yote yale ya Jide? Pamoja na kusema hata akifa Ruge na Kusaga wasithubutu kuja msibani na wakija wapigwe mawe? By the way, huyu Jide si ana bifu vile vile na Mwana FA mmiliki mwenye wimbo? What if ikiwa hata yeye hapendi sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake hasa baada ya kumkashifu na kufikia kumuita MwanaFatuma?
Narudia...ona uonavyo... huwezi kuacha kupiga wimbo mzima kv tu kuna sauti ya Jide... haiingii akilini! Aidha, huwezi kupiga wimbo mzima including kipande cha Jide wakati kila mmoja anafahamu alitangaza hadharani tena kwa matusi na moja ya kauli yake hii hapa:Kama kweli mnampenda Jide busara ingekuwa ni kumshauri aachane na masuala ya bifu! Kila mmoja anafahamu kwamba, miongoni mwa wasanii wa kike, Jide pamoja na umri wake lakini ndie mpenda migogoro na hata majina yake yanasadifu tabia yake... mara leo Commando kesho Anaconda, sijui anajaribu ku-prove nini! Lakini kwa wenye busara wanafahamu wazi kwamba bifu zake zinam-cost sana!!
Unajua huwezi kuzungumzia suala hili bila kugusia bifu la Clouds na Jide kwa kuwa ndio chanzo cha haya yote unless kama mtu atataka kuonesha upande mmoja wa tatizo... kwamba Clouds wanafanya wafanyayo bila sababu!Mkuu mbona hauelewi? Mie sizungumzia beef lao,sipo hapa kama mshabiki wa Jay dee na wala sina chuki na clouds. Hata hivyo ni utoto kwamba uichukie clouds kwa sababu unampenda Jay dee au umchukie Jay dee kwa sababu unapenda clouds,hilo ni beef lao.
Kwahiyo naomba kwanza utambue kuwa sipo hapa kumshabikia Jay dee na wala sina chuki na clouds.
Hebu chukua mfano kama ile nyimbo ya Nay na Diamond halafu labda clouds wana beef na Diamond kama ilivyo kwa Jay dee. Au ile nyimbo ya Ali kiba na Jay dee single boy.
Hivi hizo nyimbo ukitoa sauti ya Diamond ktk nyimbo ya Nay, au utoe sauti ya Jaydee ktk nyimbo ya Ali kiba unafikiri kutakuwa na maana gani ya kupiga hizo nyimbo? Na muathirika hapo atakuwa ni nani ktk utoto wa aina hiyo?
Umesahau CAPITAL na MAGIC1.efm 2.east Africa radio 3.radion one 4.times FM 5.wapo radio 6. Radio imani
wanadai sambaza upendo sasa sijui ni upendo wa aina gani kama wenyewe wanakuwa na bifu na baadhi ya watu tutasambaza vipi huo upendo