Clouds FM acheni Utoto


Mie ndiyo niliyesema kwamba ni bora wasipige hata nyimbo alizoshirikishwa kuliko kufanya hivyo wanavyofanya.
 
Kig. Ww ni mmoja wao bila shaka. Sasa huo wimbo waliomute kwa nini wapige? Hata hivyo radio yenu ni ya kihuni
Nilikuwa sifahamu kwamba uhuni unalipa namna hii!!!
 
Mie ndiyo niliyesema kwamba ni bora wasipige hata nyimbo alizoshirikishwa kuliko kufanya hivyo wanavyofanya.
Huwezi kuacha kupiga wimbo wa mtu kwa sababu ndani yake kuna sauti ya mtu asiyetaka kazi zake zisipigwe wakati dawa ipo... MUTE! Kwanini wahukumiwe wengine? Ule wimbo watu tunasikiliza maneno ya busara, yaliyoenda darasa kutoka kwa kijana Mwanafalsafa! Sasa wewe unataka yote hayo watu wasisikilize kisa chorus ikiwa muted itaonekana utoto??????!!!!
 
Ujue tatizo watu wamejielekeza kwenye beef zaidi,sie wengine hatupo upande wowote ktk hilo beef kwahiyo haina haja ya kuanza kutueleza sijui nani alifanya nini alipokuwa na beef na sijui nani.
 


umeandika bila ya kufanya tafiti vizuri kaka.wanawastress sana wasanii baada kuwatumia sana vibaya.uliza juma nature na dudubaya wako wapi?alafu mbaya zaidi hujui music industry ya bongo nyamaza mkuuu you are just a fan
 
Clouds wana slogan yao ya kusambaza upendo,sasa ni upendo gani wanaousambaza? Ku-mute sauti ni kusambaza upendo au chuki?
NasDaz kwahiyo neno Lady Jay Dee ni tusi mpaka liwe Muted? Usichanganye Clean version na Dirty Version.
Nimekupa sababu mbalimbali kwanini sehemu ya wimboinakuwa ni jambo la kawaida kuwa muted! Suala la Jide linaeleweka na nimeshalisema mara kadhaa!
 
umeandika bila ya kufanya tafiti vizuri kaka.wanawastress sana wasanii baada kuwatumia sana vibaya.uliza juma nature na dudubaya wako wapi?alafu mbaya zaidi hujui music industry ya bongo nyamaza mkuuu you are just a fan
Katika suala music industry wala hakuna utakachoniambia kahiyo kama wa kunyamaza unatakiwa wewe ndo unyamaze!

Unasema sijafanya utafiti kwa hoja ipi... hebu weka hapa huo utafiti uliofanya wewe! Unaleta habari za Dudubaya hapa kwahiyo waliompoteza ndio hao Clouds au? Ina maana hamna radio station zingine ambazo zingeweza kumweka juu? By the way, kwa nyimbo zipi hasa? Zile nyimbo za kusifia manundu ndo bado ulitarajia zingemweka kwenye chati? Suala la Nature nalifahamu kuliko unavyolifahamu wewe! Ni kweli kuna wakati Nature aliwazingua Clouds na wenyewe wakamzingua baadae peace ikafanyika na akarudi kwenye game! Tunaoifahamu Wanaume tulitabiri mapema sana kwamba haikuwa na muda mrefu kuparaganyika coz' yaliyokuwa yanaendelea maskani tulikuwa tunayajua na siyo ya kusimuliwa! Na kweli. muda haukupita, Nature na wenzake wakaondoka na fito zao wakaja kutiwa kiburi na mashabiki uchwara waliodhani unaweza kumshusha mtu kwa kuwarushia chupa za maji! Baada ya hapo, Nature ikawa historia... bora hivi sasa wapo in good terms na Fela huenda akarudi upya!

Una lingine?
 
Nilikuwa sifahamu kwamba uhuni unalipa namna hii!!!

usijisumbue na HATERS.....wenzao wanapiga hela na kazi wao kuponda tu utafikriri wameshikiwa bunduki wasilkilize hio redio!! na kama hamsikilizi mnaiongelea ya nini?? kuna redio kibao hapa bongo waacheni clouds fm na ujinga wao wasikilizwe na wajinga....jamii hii ina watu tofauti kila mtu na upeo wake
 

Mike Tee mnyalu ana wimbo wake wa JE UTANIPENDA ambao amemshirikisha Mad Ice kwenye kiitikio.

Sasa basi huu wimbo una remix yake ambayo anaanza kurap Mr. 2 - Sugu (Hawapigi track Redioni, Na hata Kwenye TV hamnioni, Na Jina haliendi chini, Najua mnashangaa hata sijui Kwanini,....). Cha ajabu hawa Clouds badala ya kupiga Original Version ambayo Sugu hayupo, wao wanapiga Hii Remix then wanaondoa verses za Sugu kwa style ya karaoke, Matokeo yake wanaharibu wimbo wa watu.

Huu uhuni walifanya hata kwenye wimbo wa Mzee wa Busara. Kuna haja gani kupiga remix yenye verse za msiempenda kisha mkazikata hizo verses wakati Kuna original version ambayo huyo mtu hayupo?

Au nia Yenu ni kuuonyesha umma kua hamumpendi huyo msaniii? Huku ndiko kusambaza Upendo?
 
Nyimbo alizoshirikishwa Jide sio zake bali za msanii aliemshirikisha,sioni sababu ya kutokuzipiga,
Maana Jide alisema CLOUDS wasipige nyimbo zake, sasa alizoshiikishwa sio zake kutokuzipiga au kuzi- mute naona ni utoto
 

mimi nakupongeza kwa kutoa majibu mazuri bila kumkashifu mtu wala kutukana unaenda hoja kwa hoja endelea hivyo hivyo safi sana.
 

alafu wana slogani yao sambaza upendo, upendo gani huo na bifu zipo kibao?????
 

[h=1]"The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything" -Albert Einstein[/h]
 

Attachments

  • Albert Einstein.jpg
    66.5 KB · Views: 75
Mkuu RRONDO afadhali umenifungua macho... kwanza sie wengine tunalipwa kwa saa tulizofanya kazi!!! Wacha nipige hela niwaache wenye vipaji vya kulalamika hadi siku wanaingia kaburini huku wakiacha Clouds imesimama wima... akina Ngwair wakijishindilia wenyewe drugs, oh Clouds... Watanzania bhana!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hivi bado mnaisikiliza hiyo clouds? Mi nilishaacha mwaka wa 5 huu. They have nothing new zaidi ya kutangaza ushoga tu.
 
"The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything" -Albert Einstein

absolutely......by those who DO SOMETHING.....who WALK THE WALK and NOT TALK THE TALK EVERYDAY!!!!!
 

Ndio utoto tunaouzungumzia mkuu,nashukuru kwa kuuona.Wanahubiri amani huku wameficha mapanga,ni wazi wanasambaza chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…