Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Report ya CAG imefanyiwa kazi?
 
Wanashindwa kuhoji ubadhilifu wa Fedha za serikali kupitia ripoti ya CAG wanatumika kama ndom
 
Wameshindwa kuwajibika majizi na mafiaadi waliotajwa kwenye report ya CAG sembuse Heche ambae hata wewe mwandishi hujui pesa aliyokula.
 
CCM wanatumia mbinu za 2005 kupigana Vita 2026...

Mwaka 2005 kikwete alichafua watu bila ushahidi na aliaminika...

Kwasababu wananchi walikua na chanzo kimoja tu cha kupata tarifa (mainstream) magazeti,TV na radio...

Leo watu wanapata tarifa nyeti bila kuangalia tv wala kusoma gazeti,unamdanganya nani?...

CCM mkimwendekeza kikwete, nawahakikishia hadi 2030 mtakua nyanya'anyang'a...

Kwasababu huyu mtu hana uwezo wowote zaidi ya kuchafua na kuuwa washindani wake.
kwa staili hii ya uchafuzi naona kama wanamsafisha HECHE na kumfanya apendwe zaidi na kumpandisha mno kwa wananchi, wasome majira na mtizamo wa waTanzania kwa muktadha wa sasa kisiasa.
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Oscar alikua MWANAHABARI WA CCM
akifanya kazi katika magazeti ya Uhuru kwa usihangaike naye sana
 
anyway,
heche ni Mal rushwa wa kiwango kibaya sana, huenda chadema wasingegundua mapenzi, angefanikiwa kutafuna kila kitu cha chama kwa faida yake binafsi na familia yake.

In fact,
amefanya kosa baya zaidi kwenye maisha ya binadamu 🐒
Lete evidence mkuu... unadhani serikali ingekuwa na ushahidi ingelaza damu
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Kumbe sio kosa na unalijua Hilo

Safi Sana , so kwanini kizimkazi nayeye asiruhusu uchunguzi huru kutoka jumuia ya kimataifa ili waweze kuchunguza Kuhusu mauaji yaliyo fanyika dec29 !?

Kinacho wafanya wakatae Hilo ni nini !?
 
Attachments

  • Screenshot_20260713-110502.jpg
    Screenshot_20260713-110502.jpg
    25.9 KB · Views: 5
Kumbe sio kosa na unalijua Hilo

Safi Sana , so kwanini kizimkazi nayeye asiruhusu uchunguzi huru kutoka jumuia ya kimataifa ili waweze kuchunguza Kuhusu mauaji yaliyo fanyika dec29 !?

Kinacho wafanya wakatae Hilo ni nini !?
Yaani Ted Cruz au David McAlister kutoka huko anakotoka, halafu eti aje achungulie uvunguni mwa kitanda changu kuna nani kana kwamba mimi mwenye kitanda siwezi?🤣

vibaraka bana dah 🤣
 
Wote wanaosema heche kapiga pesa hawataji ni sh ngapi na hawasemi zimetoka wapi

wote wanao sema Heche kala hela wanaliwa vinyeo. Tutawachunguza asante. Ila kama bado marinda yapo tuwapige miti. Yubera wochi yua bakii mamba 24 🔥🥂 🤣
 
Yaani Ted Cruz au David McAlister kutoka huko anakotoka, halafu eti aje achungulie uvunguni mwa kitanda changu kuna nani kana kwamba mimi mwenye kitanda siwezi?🤣

vibaraka bana dah 🤣
Umeona Sasa !!! Sehemu kubwa ya maisha ya binaadamu Yanaendeshwa na ubinafsi kile ambacho wewe unagoma kufanyiwa ndio ambacho huyo mnayetaka achunguzwe nayeye hawezi kukubali kukifanya 🤣🤣🤣

So kama Kwa kutulia

Wanasiasa wanawachezea Akili tu ,
 
siasa ni maisha gentleman,
sio kuchezeana akili wala nini 🐒
 
Hela za Tone Tone tumetoa sisi anayelalamika ni Oscar,, Kwann asilalamikie ubadhirifu kwenye Ripoti ya C.AG,,, au amualike huyo Heche hapo studio amuhoji??
 
Back
Top Bottom