Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Mkuu huwezi kuamka tu na kuanza kusema "Mkuu wa Mkoa wa Mbeya achunguzwe".... lazima uwe na angalau kitu cha kuanzia. Heche kaiba pesa zipi? kwa namna gani? Ni kiasi gani? Zilikuwa wapi? At least watupe kitu cha kuanzia.
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye mambo ya fedheha kama haya ya heche kutumia fedha za chama kujikomboa kiuchumi yeye binafsi na familia yake,

Lakini pia huna haja ya kunilisha maneno au kunisemea mimi kuhusu jambo lolote lile la kisiasa, kijamii au kiuchumi. Express your free opinions as you can, and I will do the same as I wish.

Baraza kuu la chadema taifa limeitishwa,
nadhani mbivu na mbichi zitabainishwa humo gentleman, okay?🐒
 
Jibu swali acha ngonjera
ukweli ulishabainishwa kwenye hiyo drama, na kwakweli sina haja ya kupoteza wakati kudeal na hisia au mihemko yako gentleman, I'm sorry for saying that truth 🐒
 
Ww endelea kupigia domo ccm upate chcht kitu, ila ww n mweupe kichwani
sasa muerevu mwenyewe mbona umejaa makasiriko tu na kujipiga kifua kwa kuendekeza hisia na mihemko useless tu?

wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu na si vinginevyo 🐒
 
Mkuu econonist ifike mahali mpuuze hizo zinazojiita media kumbe ni madekio ya damu za CCM.

Angalia post yao hii ya November 3 wakitangaza kifo cha aliyekua mtangazaki wao Master Tindwa wanashindwa kusema ukweli alikufa kwa kupigwa risasi na policcm.

Hakika comments zinajieleza watangayika waliwanyoosha na kuwafundisha proper reporting.

View: https://x.com/i/status/1985408001532964978
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Huyo mwendawazimu Oscar, vipesa alivyorushiwa na CCM vinamfanya hata akili ndogo aliyokuwa nayo ipotee kabisa. Huyo anaichafua Clouds, si muda, watu wataiona ni takataka.
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Watashindana lakini hawatashinda
 
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye mambo ya fedheha kama haya ya heche kutumia fedha za chama kujikomboa kiuchumi yeye binafsi na familia yake,

Lakini pia huna haja ya kunilisha maneno au kunisemea mimi kuhusu jambo lolote lile la kisiasa, kijamii au kiuchumi. Express your free opinions as you can, and I will do the same as I wish.

Baraza kuu la chadema taifa limeitishwa,
nadhani mbivu na mbichi zitabainishwa humo gentleman, okay?🐒
Accusations are not opinions, huwezi kuita mtu mbaridhifu halafu ukaita opinion. Kama hupendi rangi ya shati yake, hiyo ndio opinion
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Heche hawezi chafuliwa na wajinga, Msiba aliwaonya maccm wenzio kwamba ujio wa lissu na Heche maccm yatapata tabu sana , ona ya moto unavyowashwa,

Heche hata Jpm na ubabe wake ila pale aliisoma no , mpaka mdaa huu chadema ndo inaamua ,ccm kazi yao ni kucheza mdundiko
 
Accusations are not opinions, huwezi kuita mtu mbaridhifu halafu ukaita opinion. Kama hupendi rangi ya shati yake, hiyo ndio opinion
anyway,
heche ni Mal rushwa wa kiwango kibaya sana, huenda chadema wasingegundua mapenzi, angefanikiwa kutafuna kila kitu cha chama kwa faida yake binafsi na familia yake.

In fact,
amefanya kosa baya zaidi kwenye maisha ya binadamu 🐒
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Nonsense
 
Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.

Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.

Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
ShesRise_1 come this way.
 
anyway,
heche ni Mal rushwa wa kiwango kibaya sana, huenda chadema wasingegundua mapenzi, angefanikiwa kutafuna kila kitu cha chama kwa faida yake binafsi na familia yake.

In fact,
amefanya kosa baya zaidi kwenye maisha ya binadamu 🐒
Uwe unasoma ulichokiandika kabla ya kupost mkuu, angalia makosa yaliyojitokeza kwenye uandishi wako.
 
Ukiachilia mbali hao watangazaji wa clouds wengine wanaolalamika si ni wana chama wa chadema ?

Haya mambo sijui yapo vipi kama ni propaganda tutajua

Mimi naamini katika muda hua sipendi kumaliza maneno kabisa

Na sipendelei kuamini watu kupindukia
 
Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?

nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.

So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless 🐒
Huyu Heche anawapelekea moto mnapoteana hivo, mwamba akitoka si ndio mtapoteana kabisa..

Heche, pesa ni zetu sio zao, wasikutoe mchezoni, mbona ruzuku ambayo ni halal kisheria hawakupi?
 
Ukiachilia mbali hao watangazaji wa clouds wengine wanaolalamika si ni wana chama wa chadema ?

Haya mambo sijui yapo vipi kama ni propaganda tutajua

Mimi naamini katika muda hua sipendi kumaliza maneno kabisa

Na sipendelei kuamini watu kupindukia
Mimi najua kama hao watu ambao ni wapinzani na kweli wamefanya ubadhilifu serikali ya ccm haiwezi kuwaacha waendelee kuzurura mitaani. Ukiona kelele zinakuwa nyingi pasipo hatua za kisheria kuchukuliwa ujue siasa za majitaka zipo kazini
 
Mimi najua kama hao watu ambao ni wapinzani na kweli wamefanya ubadhilifu serikali ya ccm haiwezi kuwaacha waendelee kuzurura mitaani.
kwani Serikali inahusika je na mambo ya ubadhilifu wa ndani ya chama cha chadema? nieleweshe
Ukiona kelele zinakuwa nyingi pasipo hatua za kisheria kuchukuliwa ujue siasa za majitaka zipo kazini
Ngoja tuone mpka mwisho
 
Back
Top Bottom