Kaka kuna startimes, wana eatv, itv, channel ten, tbc, sibuka, star tv,
Hatimaye kampuni ya Zuku TV imeongeza local nyingne ie.Cloud Tv na kufanya idadi ya chn za Tanzania kufikia 3 baada ya TBC,Chnl10..nadhan hawa jamaa wanaongoza kuwa local chnl nyingi zinazopatkana Afrika Mashariki! Ombi langu ni chanel zaidi za michezo km mpira eg.EPL,La Liga na Serie A...
hii sikuijua ngoja nifatilieKaka kuna startimes, wana eatv, itv, channel ten, tbc, sibuka, star tv,
bwana mdogo sio unaongeaongea tu bila ushahidi!!
Bwana mdogo umekunywa?
Wanaboa Zuku hawabadiliki channel 3 ndiyo nini sasa. Naangalia pia ujio wa Sahara na chao cha Cöntinental DVB T2. Usikimbizwe na decoder baki na dish la FTA Kwanza. Tcra ovyo wanaongea tu hakuna regulation ya decoder