Mkuu Chukua Hiyo Medical Laboratory na wala usichukue CO.
Kwanini Ninakushauri Hivyo??
Hiyo Ni Kwa ajili ya Future yako!! Ukitaka Sifa na Kuangalia Hapa Karibu! Basi utaona CO ndiyo Kila kitu. Ila Kumbuka Kuwa Utahitaji Kusoma Zaidi Baadaye Kwa Ngazi ya MD! Hapo Ndiyo Patamu!!!!!!!
Mkuu Sasahivi Katika Course yenye Ushindani Wa Kupindukia Vyuo Vikuu ni MD hususan kwa wale waliopitia Diploma, Na vyuo vya MD vinazidi kufungwa ilhali wasomi wanaongezeka, Kwahiyo Unaposoma CO basi utakuja kukwama Kwenye MD.
Lakini unaposoma Medical Laboratory
utapeta Kwenda Kusoma Degree Coz ushindani wao unakua sio Mgumu Kivile, Na Vyuo Vinavyotoa Hii Fani Ni Vingi.