Clinical officer versus Medical laboratory

Mkurya mweupe

JF-Expert Member
Aug 10, 2023
218
740
Wana JF,

Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.

Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.

Asanten
 
Wana JF,

Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando. Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.Asanten
Zote hizo majanga tupu.. asome optometry, dental, Radiology au physiotherapy kama hataki hizo zote basi akabahatishe hiyo Clinical Medicine
 
Wana JF,

Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.

Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.

Asanten
Kama ana mpango wa kusoma clinical medicine mtaftie chuo cha private kizuri serikali GPA ndogo itamtesa
 
Kila kozi watu wamejaa mtaani saivi, mpaka amalize miaka 4, graduate watakuwa milion. Akasome kazi itajulikana mbeleni
 
Lab akasome hafi njaa ila kama anataka mawanda mapana mbeleni co itamfaa
Wana JF,

Naomba kuuliza kwa sasa course gani ni nzuri kati ya hzo kwenye soko la ajira maana ndugu yangu amechaguliwa clinical officer (Ndolage) na Medical laboratory Bugando.

Ipi ni bora ukizingatia soko la ajira kwa sasa.

Asanten
Kama amechaguliwa Bugando mwambie aende ila akabadilishe asome diploma ya radiology atakuja kukushukuru
 
kati ya hizo mbili.......kidogo clinical medicine(kidogo....narudia)

ila ningekuwa mimi hapo nisingesoma hata moja ila ningechagua kati ya machaguo yafuatayo

1. Radiology
2.phythiotherapy
3.Dental
4.Optometry(kichas)
5.Nursing

Ikikufaa.....zingatia........ASANTE
Hiyo physiotherapy wigo wake n mdogo
 
Kama ana mpango wa kusoma clinical medicine mtaftie chuo cha private kizuri serikali GPA ndogo itamtesa
Fuata huu ushauri kama ni lazima asome Clinical Medicine,ila mwambie ajiongeze watoto wengi wa private weupe.
 
Back
Top Bottom