Lakin clinical medicine ni kwa wale wa form 4.
Mm nlimaliza 2014 lakin nmechaguliwa kusoma clinical medicine.
Kwa matokeo ya
Bios -c
Chemistry-c
Physics-c
English-b+
Math-d
Na kila kitu nmekamilisha hadi joining instruction nmepata chuo tarehe 19/9 kuripoti
Thank you soo Much ushauri wako umenisaidia sana. Thank you alot.Nakushauri usome Medical Lab. Ma C.O ni wengi sana sahv, nafasi za ajira ni nyingi kwa watu wa Lab tofauti na C.O.
Pili ukisoma certificate miaka miwili ukihitaji kusoma diploma inabidi ufanye kazi miaka isiyopungua miwili. Ukiwa C.O ngazi ya certificate kupata ajira hata private ni shughuli.
Mishahara haina tofauti sana.
Pia Chances za kujiajiri ni easy kwa medical lab kwan unaweza kuanzisha maabara yako ukapima watu bila hata kuwa na C.o Lakn C.O hawez kufanya kazi bila mtu wa Lab.
Halafu kuhusu kusoma diploma miaka 2 au 3 baada ya kusoma certifocate, iko hivi;
Ukimaliza certificate ukitaka kusoma diploma ktk chuo kolicho chini ya Nacte utasoma mwaka mmoja. Vyuo vya Nacte vina mfumo wa NTAs. Hivyo miaka miwili uliyosoma ni NTA Level 4 na NTA Level 5 hivyo utamalizia NTA Level 6 ambayo ndiyo Diploma. Lakn uwe umefanya kazi 2 years.
Ikiwa unataka kusoma dilploma ktk vyuo vilivyo chini ya TCU utatakiwa kusoma miaka mi3 hata kama umeshafanya kazi miaka 2. Na utatakiwa uwe na na ufaulu wa GPA isiyopungua 2.7
Nawasilisha.
Karibu tuboreshe Afya za wapendwa wetu.
Kama una swali lingine kuhusu Lab Karibu.
Me pia nataka kujusChuo gani please
Shukraan sanaKiwango cha mshahara hawapishani ni sawa ila tofauti yao ni kwamba huyu wa CO anakuwa boss wa clinical laboratory ndio tofauti yao pia huyu CO anaweza kwenda kufanya kazi hata kijijini kusikokuwa na umeme kitu ambacho ni tofauti na wa laboratory yeye lazima afanye kazi mjini kwenye umeme kwani kazi zao mara nyingi zinahitaji pawe na miundombinu hiyo ili aweze kupima sampuli za wagonjwa
Shika adabu yako. Sikukulazimisha kunipa ushauri kama hukua na kitu cha kusoma bora usingeshusha suruali yako..maana ni kama vile umetumia njia nyingine kujibu na sio Mdomo.Yaani hata shule hujaenda, huna uhakika wa qualification zako kama utadahiliwa, alafu unakuja jukwaani kuuliza mishahara inakuaje? kweli kichwa kipo vizuri hicho?. Mwenye uhakika wa mambo hayo juu yako ni Mungu pekee, mengine fuata maelekezo. Ukiambiwa usikojoe hapa! kama ww ni binadamu basi hilo eneo usijaribu kushusha zipu au kutelemsha sketi bali wewe pita maana huna vigezo vya kukojoa hapo!!. Masomo mema kama utaenda kusoma!
Sms DeliveryShika adabu yako. Sikukulazimisha kunipa ushauri kama hukua na kitu cha kusoma bora usingeshusha suruali yako..maana ni kama vile umetumia njia nyingine kujibu na sio Mdomo.
mim ni d bios zingine zote C unakuwajeSifa za kuapply CO ni
bios-d
chemistry-d
Physics-d
English at least-d pamoja na math ikiwa ni sifa za nyongeza.
Hii ni kwa ajiri ya kusoma cert ambayo ni miaka 2.
KUSOMA DIPLOMA LAZIMA UWE NA VIGEZO VIFUATAVYO.
-Bios-C
-chemistry-C
-Pysics-D
Math na kingereza ni sifa za nyongeza walau upate D katika somo mojawapo hasa kiingereza.
Huu utasoma miaka 3.
zingatia
Biology+chemistry+physics+english ni muhimu zaid kufaulu.
Lazima uanze na certificate hapo mkuu.mim ni d bios zingine zote C unakuwaje
Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?
Acha kumdanganya banahYou nailed it.
Acha kumdanganya banah
Dental tharepist na clinical officers ndio wana fursa ya kusoma Md huyo wa maabara labda awe ana sifa katika vyeti vya form six
Na wanaweza kusoma enviromental health wanaweza kusoma na pharmacy wanaweza kusoma mental health
Sorry mkuuu kuna jamaa pale juu aliyesema ukisoma CO huwezi kusoma MdNimemdanganya nani?
.Sifa za kuapply CO ni
bios-d
chemistry-d
Physics-d
English at least-d pamoja na math ikiwa ni sifa za nyongeza.
Hii ni kwa ajiri ya kusoma cert ambayo ni miaka 2.
KUSOMA DIPLOMA LAZIMA UWE NA VIGEZO VIFUATAVYO.
-Bios-C
-chemistry-C
-Pysics-D
Math na kingereza ni sifa za nyongeza walau upate D katika somo mojawapo hasa kiingereza.
Huu utasoma miaka 3.
zingatia
Biology+chemistry+physics+english ni muhimu zaid kufaulu.
Sawa nimeelewa nimeomba tayari. Sasa what if nina F ya physics wanaweza nichagua kweli? Maana niliomba CO wamenitema ndio nimeomba medical labNakushauri ufanye maamuzi usijiulize ulize
Angalia hapa
Orodha ya kozi za certificate na Diploma zilizojaa
No Physics No DCM.Sawa nimeelewa nimeomba tayari. Sasa what if nina F ya physics wanaweza nichagua kweli? Maana niliomba CO wamenitema ndio nimeomba medical lab
Physics wat about medical laboratoryNo Physics No DCM.