Clinical Officer anashindwa pata nafasi ya kujiendeleza kielimu

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
6,331
10,752
Habari,

Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu.

Course alizoomba

Health Management System- Mzumbe
Health information system- Udom
Clinical Nutrition and dietics-Udom
Human nutrition- Sua.

Hana qualifications zakusoma MD.

Je naomba kujua Hakuna chuo kingine kinacho offer course za Aina Hizo apart from hivyo nlivyoorodhesha?

Na je watu walio makazini hawachukuliwi kusoma Hizo course maana anasema anavigezo stahiki vya kusoma?

Naombeni busara na ujuzi wenu Wakuu juu hili swala.
 
Yaan ukiwa co ni rahis kwenda kusoma diploma ya afya ya inshu zingne mfano dental,tena kama hyo diploma ya UCO aliipata kwenye vyuo kama tandabui hasahau kupata bachelor,labda aombe kwa nchi za wenzetu huko dunian
Kwanini?.. what is the problem?
Aliipata chuo kimoja Cha dini kipo Sengerema nimekisahau jina.
 
Kwanini?.. what is the problem?
Aliipata chuo kimoja Cha dini kipo Sengerema nimekisahau

Kwanini?.. what is the problem?
Aliipata chuo kimoja Cha dini kipo Sengerema nimekisahau jina.
Watu wa TCU hudhani au uhisi,matokeo ya vyuo hv n ya kutengeneza,yaan hayapatikan kwa bongo ya mhusika.

Chuo kinaitwa Sengerema COTC,siku hizi Sengerema health training institute
 
Watu wa TCU hudhani au uhisi,matokeo ya vyuo hv n ya kutengeneza,yaan hayapatikan kwa bongo ya mhusika.

Chuo kinaitwa Sengerema COTC,siku hizi Sengerema health training institute
Kwaiyo Hakuna ma CO walijiendeleza Kabisa.. Naamini wapo mkuu
 
O-level ana C C C C C za Biology, Chemistry, English etc....Cheki requirements za kujiunga na Degree husika.
Kwa mujibu wake ...Anavigezo Ila anasema eti competition kuubwa..na wanachukua Wamakazini wachache na fresh from school wengi..

Mimi nikamwambia Kama hivyo vyuo.competion Ni kuubwa...
Je vyuo Kama KcMC na IMtu na vingine...je havina course Kama Hizo?

Akawa hajui...ndo nikaona niulize huko
 
Inategemea na chuo alichosoma awali kuna vyuo ambavyo vingi hivi karibuni vimefungiwa baada ya ukaguzi.

Vyuo vingi nchini bado havikidhi vigezo na hiyo ndio inaweza kuwa tatizo maana watu walikuwa wanagawiwa diploma kama njugu.

NACTE siku hizi hawana masihara tena.
 
Kwa mujibu wake ...Anavigezo Ila anasema eti competition kuubwa..na wanachukua Wamakazini wachache na fresh from school wengi..

Mimi nikamwambia Kama hivyo vyuo.competion Ni kuubwa...
Je vyuo Kama KcMC na IMtu na vingine...je havina course Kama Hizo?

Akawa hajui...ndo nikaona niulize huko
kwanza mpe pole pili kwa GPA ya 3 na ameomba kozi hizo amekosa ana wakati mgumu sana kupata chuo kwa maana hiyo kozi ya clinical medicine vyuo sasa hivi ni vingi mno hivyo wanafunzi wanaomaliza ni wengi NA kibaya zaidi kozi ya AMO wameifuta amabayo labda ingekuwa kimbilio la CO wengi
kwa sasa hivi hiyo kozi inabidi itafutiwe njia mbadala la sivyo wanafunzi wengi watabaki na CO yao maana kila watakapoomba kujiunga na degree hawatachukuliwa
Na hao TCU ni washenzi kweli yaan wanashusha vigezo vya kuingia MD wakati vyuo hakuna Kulikuwa na haja gani ya kushusha vigezo yaan mtu akiwa na GPA ya 3 anaruhusiwa kuchukua MD badala yake ukioomba hupati kimsingi elimu yetu inahitaji marekebisho kuna ujinga kweli kuanzia NECTE NACTE NA TCU
 
Habari,

Nina mdogo wangu Ni clinical officer ( Ana Diploma) Ni in charge huko vijijini.Amekuwa aki.apply kwenda kusoma course mbali mbali za afya na hapati huu mwaka wa tatu

Course alizoomba

Health Management System- Mzumbe
Health information system- Udom
Clinical Nutrition and dietics-Udom
Human nutrition- Sua.

Hana qualifications zakusoma MD.

Je naomba kujua Hakuna chuo kingine kinacho offer course za Aina Hizo apart from Hivyo nlivyoorodhesha?

Na je watu walio makazini hawachukuliwi kusoma Hizo course maana anasema anavigezo stahiki vya kusoma?

Naombeni busara na ujuzi wenu Wakuu juu hili swala.
Kama amekosa hata hizo kozi ambazo hazina competition kama md mwambie arisit form six atafute walau Hata DDD..as long as yuko kazini still ni advantage hata akzngua atakuwa anajipanga taratibu huku anaaapply chuo huku anarisit
 
Alipata 3 olevel na GPA ya 3
Alevel alipata 4 ..so akaamua kosoma diploma kwa Cheti Cha form 4
Vyuo vya dini na govt vingi vinakazia vijana hasa clinicals hvyo unakuta anaishia gpa ya 3 kwa huyo jamaa shishangai tofauti na vyuo vingine vya private ambao wanajitahd mwanafunz afaulu sana ilivijibrand na watu wanatoka zao na 4+ saf kabisa
 
Back
Top Bottom