Click here to find out how 'Transformers: Dark of the moon' was made

Lukansola Young Master mi sikatishi tamaa nasema reality. if u could see things in my perspective mngenielewa. hatuna vitendea kazi ulafi wa watu wachache...hebu google budget ya kutengeneza transformers ndo utaelewa nnachomaanisha
jamani nyie watu mnazungumzia hayo matechnology sijui ma nini, hivi mmeshaangalia maigizo ambayo hayahitaji technology yoyote? ndugu zetu wanaweza kweli kuigiza? kila nikijitahidi kuangalia sinema zetu huwa naishia katikati, ngoja niseme wazi tu kwa kweli inapofika kwenye movies zetu UZALENDO UMENISHINDA
 
Nmekupata sana mkuu! Ndomaana huwa spend kuchek muvi za kibongo! Wa bongo hatujui kutofautisha kat ya muvi na tamthiliya., mtu kwenye muvi anaonyesha tukio kwa asilimia 100 kama ni harusi bas gari ltaonyesha kila kona lnayopta... Af waigzaj weng wa bongo wanaangaliaga movie zao tuu ndo maana hamna wanachojifunza.... Wakienda mbali wameangalia za nigeria ambao hawajatuacha mbali sanaaa. Na sijui kwanini 90% ya muvi zetu n mapenzi? hv kwan lazma kila muvi mlinz awe mchekeshaji? au ni lazma kila anaetoka kijijini awe mshamba anakaa chini na viatu amevishika, au kila anaetoka kijijini anashndwa kuvuka lami? ifke mda tubadilike...... Skuiz hata vjijn kuna lami na sofa japo si sehemu zote na hata hzo sehemu watu wanavjua vtu hvyo

skio la kufa halisikii dawa

Asante sana nurbert, umamaliza kila kitu, labda niongezee tu, kila movie lazima iwe na part ya mganga wa kienyeji, kila movie lazima star awe tajiri (wana act kwenye majumba makubwa makubwa) halafu kuna hili swala la muziki ndani ya sinema, yaani muziki unasikika kwa sauti ya juu kuliko maneno ya waigizaji, halafu atawekwa mtu anasikitika basi atakaa hapo dakika kumi nzima kajishika shavu huku akitikisa kichwa akisindikizwa na muziki wa instrumental unaokera masikioni.

Halafu kuna kitu kimeibuka siku hizi, sinema za kichawi (iwanalazimisha kutumia after effects, mara mtu kapotea, mara kageuka sungura, mara sijui nini... yaani tunawaiga wanaigeria ambao nao si lolote si chochote...

Hivi hatuwezi kutengeneza stori zaidi ya mapenzi na uchawi, kwa mfano stori ikahusu investigation, kukaoneshwa labda jinsi kesi fulani ilivyokuwa complicated na jinsi ilivyatatuliwa. kama vipi ombeni kibali mtengeneze sinema za Willy Gamba I belive mtauza sana tu.

hakuna kitu kinachonikera kwenye sinema zetu kama jinsi dada zetu wanavyokaa uchi, wanaoneshwa wakiwa vitandani wananyonyana mate na wanaume zao.... sinema za bongo zinauza kwa sababu ya ujinga wa watanzania wengi (ni kama magazeti ya Shigongo), ndio maana kila mwenye upeo kidogo atakwambia haangalii upuuzi, na ni kweli ni upuuzi mtupu.

Rai yangu kwa wasanii, Acheni kubweteka na sifa za kijinga fanyeni kazi, pia acheni kujisifia subirini msifiwe kwa matokeo ya kazi zenu.

Kanumba aliita kampuni yake 'Kanumba The Great...' hii 'The Great' ingependeza kama ingekuwa imeongezewa na mashabiki wake na sio yeye mwenyewe kujiita the great... the great wa kitu gani sasa.
 
Last edited by a moderator:
jamani nyie watu mnazungumzia hayo matechnology sijui ma nini, hivi mmeshaangalia maigizo ambayo hayahitaji technology yoyote? ndugu zetu wanaweza kweli kuigiza? kila nikijitahidi kuangalia sinema zetu huwa naishia katikati, ngoja niseme wazi tu kwa kweli inapofika kwenye movies zetu UZALENDO UMENISHINDA

Bora umesema Fixed Point, teknologia bila ujuzi is nothing, C6 anaongelea budget wakati kuna vitu ambavyo vinahitaji common sense tu na wala sio pesa. hawa waswahili hata uwape shs ngapi wataishia kutengeneza utumbo tu. Mtanisamehe sipendi sinema zetu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Umeona Lukansola.... Af hata kama ktu hawakiwez wanang'ang'ania. Kwan lazma kila aliyeshiriki miss tanzania awe muigzaj.... Na huwa nashangaa muvi nzma inakua na soundtrack na na milio ya kushtua

Asante sana nurbert, umamaliza kila kitu, labda niongezee tu, kila movie lazima iwe na part ya mganga wa kienyeji, kila movie lazima star awe tajiri (wana act kwenye majumba makubwa makubwa) halafu kuna hili swala la muziki ndani ya sinema, yaani muziki unasikika kwa sauti ya juu kuliko maneno ya waigizaji, halafu atawekwa mtu anasikitika basi atakaa hapo dakika kumi nzima kajishika shavu huku akitikisa kichwa akisindikizwa na muziki wa instrumental unaokera masikioni.

Halafu kuna kitu kimeibuka siku hizi, sinema za kichawi (iwanalazimisha kutumia after effects, mara mtu kapotea, mara kageuka sungura, mara sijui nini... yaani tunawaiga wanaigeria ambao nao si lolote si chochote...

Hivi hatuwezi kutengeneza stori zaidi ya mapenzi na uchawi, kwa mfano stori ikahusu investigation, kukaoneshwa labda jinsi kesi fulani ilivyokuwa complicated na jinsi ilivyatatuliwa. kama vipi ombeni kibali mtengeneze sinema za Willy Gamba I belive mtauza sana tu.

hakuna kitu kinachonikera kwenye sinema zetu kama jinsi dada zetu wanavyokaa uchi, wanaoneshwa wakiwa vitandani wananyonyana mate na wanaume zao.... sinema za bongo zinauza kwa sababu ya ujinga wa watanzania wengi (ni kama magazeti ya Shigongo), ndio maana kila mwenye upeo kidogo atakwambia haangalii upuuzi, na ni kweli ni upuuzi mtupu.

Rai yangu kwa wasanii, Acheni kubweteka na sifa za kijinga fanyeni kazi, pia acheni kujisifia subirini msifiwe kwa matokeo ya kazi zenu.

Kanumba aliita kampuni yake 'Kanumba The Great...' hii 'The Great' ingependeza kama ingekuwa imeongezewa na mashabiki wake na sio yeye mwenyewe kujiita the great... the great wa kitu gani sasa.
 
Last edited by a moderator:
jamani nyie watu mnazungumzia hayo matechnology sijui ma nini, hivi mmeshaangalia maigizo ambayo hayahitaji technology yoyote? ndugu zetu wanaweza kweli kuigiza? kila nikijitahidi kuangalia sinema zetu huwa naishia katikati, ngoja niseme wazi tu kwa kweli inapofika kwenye movies zetu UZALENDO UMENISHINDA

Ha ha haaaa!!! Kumbe tupo wengi...nilidhani ni mimi peke yangu.
 
Asante sana nurbert, umamaliza kila kitu, labda niongezee tu, kila movie lazima iwe na part ya mganga wa kienyeji, kila movie lazima star awe tajiri (wana act kwenye majumba makubwa makubwa) halafu kuna hili swala la muziki ndani ya sinema, yaani muziki unasikika kwa sauti ya juu kuliko maneno ya waigizaji, halafu atawekwa mtu anasikitika basi atakaa hapo dakika kumi nzima kajishika shavu huku akitikisa kichwa akisindikizwa na muziki wa instrumental unaokera masikioni.

Halafu kuna kitu kimeibuka siku hizi, sinema za kichawi (iwanalazimisha kutumia after effects, mara mtu kapotea, mara kageuka sungura, mara sijui nini... yaani tunawaiga wanaigeria ambao nao si lolote si chochote...

Hivi hatuwezi kutengeneza stori zaidi ya mapenzi na uchawi, kwa mfano stori ikahusu investigation, kukaoneshwa labda jinsi kesi fulani ilivyokuwa complicated na jinsi ilivyatatuliwa. kama vipi ombeni kibali mtengeneze sinema za Willy Gamba I belive mtauza sana tu.

hakuna kitu kinachonikera kwenye sinema zetu kama jinsi dada zetu wanavyokaa uchi, wanaoneshwa wakiwa vitandani wananyonyana mate na wanaume zao.... sinema za bongo zinauza kwa sababu ya ujinga wa watanzania wengi (ni kama magazeti ya Shigongo), ndio maana kila mwenye upeo kidogo atakwambia haangalii upuuzi, na ni kweli ni upuuzi mtupu.

Rai yangu kwa wasanii, Acheni kubweteka na sifa za kijinga fanyeni kazi, pia acheni kujisifia subirini msifiwe kwa matokeo ya kazi zenu.

Kanumba aliita kampuni yake 'Kanumba The Great...' hii 'The Great' ingependeza kama ingekuwa imeongezewa na mashabiki wake na sio yeye mwenyewe kujiita the great... the great wa kitu gani sasa.

Kitu kingine ambacho hawa jamaa wananikera ni kutengeneza movie yenye story zinazofanana...yaani kila kukicha kila movie unayoiangalia story ni ile ile mara kufumaniana mara kusalitiana...yani hakuna jipya kabisa katika movie zetu.

kitu kingine jamani ni wahusika wa filamu...kila movie unayoangalia wahusika ni wale wale. Utakuta movie ya action ray yupo ukija kwenye movie za mapenzi utamkuta...ukienda kwenye uchawi yumo matokeo yake tunakuwa tunaondoa uhalisia wa hizi movie...maana leo umeomuona ray kwenye mapenzi kesho unakuja kumuona anapaa na ungo....
 
Last edited by a moderator:
kila nikiangalia zile movies lazima nikasirike, nikaona isiwe tabu

Ya nini kujipa stress wakati ile ni starehe...??? Nadhani tatizo kubwa linalofanya wasanii wetu wasiendelee kwanza kabisa ni tamaa, pili ujuaji mwingi...kila mtu anataka kujifanya anajua kuliko mwenzake, tatu ni kuingia katika fani hii ya kuigiza bila kupata mafunzo. hata kama jamani mtu ana kipaji ili kipaji chake kiweze kukua na kuwa bora laxima apate mafunzo ili kuongeza ujuzi na ufanisi lakini wenzetu huwa tunaokotz tu na kuwapachika matokeo yake tunaishia kuigiza kama ngonjera
 
Umeona Lukansola.... Af hata kama ktu hawakiwez wanang'ang'ania. Kwan lazma kila aliyeshiriki miss tanzania awe muigzaj.... Na huwa nashangaa muvi nzma inakua na soundtrack na na milio ya kushtua

Halafu unakuta soundtrack zenyewe haziendani na tukio katika hiyo movie...sometimes kwenye yale maandishi ambayo huwa yanaanza kuyatambulisha movie (credits) unakuta wengi weao huwa wanachukua animation za action movies wakati unakuta movie yenyewe inahusu mapenzi.
 
Kitu kingine ambacho hawa jamaa wananikera ni kutengeneza movie yenye story zinazofanana...yaani kila kukicha kila movie unayoiangalia story ni ile ile mara kufumaniana mara kusalitiana...yani hakuna jipya kabisa katika movie zetu.

kitu kingine jamani ni wahusika wa filamu...kila movie unayoangalia wahusika ni wale wale. Utakuta movie ya action ray yupo ukija kwenye movie za mapenzi utamkuta...ukienda kwenye uchawi yumo matokeo yake tunakuwa tunaondoa uhalisia wa hizi movie...maana leo umeomuona ray kwenye mapenzi kesho unakuja kumuona anapaa na ungo....

Ah ha ha ha, eti anapaa na ungo, aisee umenichekesha. Halafu mwisho wa muvi kwenye credits utakuta:
lighting: Lukansola
location: Lukansola
Costume: Lukansola
Director: Lukansola
na kadhalika...
 
Kwahyo hapa it means huyo ambae kashikilia hvyo v2 kama upeo wake n mdogo bas ujue kaboronga sehemu zote alzoshkilia
 
Aiseee!!! hapo kwenye red umenichekesha sana mkuu. Lakini usemayo ni ukweli mtupu wala hakuna uongo. Ndio maana mimi huwa siangalii movie za bongo maana nikiangalia nitaanza kuzikosoa mwanzo mwisho.

niliwahi tazama movie ya kibongo hadi nilicheka mbele ya familia yangu. yaanijuna scene flan kulikua baba,mama na bint yao maongezi yalikua hivi
BABA: Mama Suzi Mkewangu naomba maji ya kunywa,
MAMA: usijali baba Suzi mume wangu, ngoja nimwambie mwanao Suzi akuletee
MAMA: Suzi mwanangu mletee baba yako maji ya kunywa.

yaani ni kama maigizo ya shule ya msingi miaka ile ya 2000 kwenye graduation za darasa la 7
 
ha ha ha ha ha! Yan utafkir perfomance za kwenye graduation za primay! Ukiwaulza umeanza kuigza lin utaskia.."mm kipaj changu kipo kwenye damu" kwan damu ndo inavaa uhusika?..
 
nimeiona umetulia sana, nakubaliana na wewe issue ya msingi hapa ni ujuzi sio mitambo advanved.

tatizo waswahili tunapenda sana 'excuse'.

angalia sinema zetu kwa mfano, kwanza lazima ziwe na majina ya kizungu wakati ndani 99.5% lugha inayotumika ni kiswahili, asilimia .5 inayobaki ni kizungu kibovu kabisa,

kwa mfano ili ijulikane kwamba huyu ni mke lazima mwanamume aseme 'mke wangu' kila anapoongea naye... hiyo nayo tunahitaji mitambo ya kisasa kuirekebisha?

au kutengeneza movie ambayo itamaliza story bila kuwa na part 2 inahitaji mitambo ya kisasa pia?

hata ukiletewa studio ya disney nyumbani, kama huna ujuzi ni kazi bure.

Umenena, mkuu! Kwa kweli mtu anaweza kujifunza kwa kuangalia tu movies tofauti tofauti za nje. Ni jambo la kustaajabisha na kusikitisha sana kwamba watunzi na watengeneza movies wa Tz wanashindwa kulifanyia kazi hili.
 
Asante sana nurbert, umamaliza kila kitu, labda niongezee tu, kila movie lazima iwe na part ya mganga wa kienyeji, kila movie lazima star awe tajiri (wana act kwenye majumba makubwa makubwa) halafu kuna hili swala la muziki ndani ya sinema, yaani muziki unasikika kwa sauti ya juu kuliko maneno ya waigizaji, halafu atawekwa mtu anasikitika basi atakaa hapo dakika kumi nzima kajishika shavu huku akitikisa kichwa akisindikizwa na muziki wa instrumental unaokera masikioni.

Halafu kuna kitu kimeibuka siku hizi, sinema za kichawi (iwanalazimisha kutumia after effects, mara mtu kapotea, mara kageuka sungura, mara sijui nini... yaani tunawaiga wanaigeria ambao nao si lolote si chochote...

Hivi hatuwezi kutengeneza stori zaidi ya mapenzi na uchawi, kwa mfano stori ikahusu investigation, kukaoneshwa labda jinsi kesi fulani ilivyokuwa complicated na jinsi ilivyatatuliwa. kama vipi ombeni kibali mtengeneze sinema za Willy Gamba I belive mtauza sana tu.

hakuna kitu kinachonikera kwenye sinema zetu kama jinsi dada zetu wanavyokaa uchi, wanaoneshwa wakiwa vitandani wananyonyana mate na wanaume zao.... sinema za bongo zinauza kwa sababu ya ujinga wa watanzania wengi (ni kama magazeti ya Shigongo), ndio maana kila mwenye upeo kidogo atakwambia haangalii upuuzi, na ni kweli ni upuuzi mtupu.

Rai yangu kwa wasanii, Acheni kubweteka na sifa za kijinga fanyeni kazi, pia acheni kujisifia subirini msifiwe kwa matokeo ya kazi zenu.

Kanumba aliita kampuni yake 'Kanumba The Great...' hii 'The Great' ingependeza kama ingekuwa imeongezewa na mashabiki wake na sio yeye mwenyewe kujiita the great... the great wa kitu gani sasa.

Nakubaliana na wewe Lukansola. Hapo kwenye red ni kama kipofu kumuomba kikongwe mgonjwa amfikishe mahali.

Hapo kwenye blue, natamani kungekuwa na watu wakajitokeza kuandaa shindano la kuandika scripts za movies, na kukawa na majaji kutoka ndani na nje ya Tz; labda kuanzia hapo tunaweza kuona mabadiliko.

Wanajisifu kwakuwa wanajiona wameshafika. Wanasahau kuwa He who doesn't grow is dead.
 
Last edited by a moderator:
Kwahyo hapa it means huyo ambae kashikilia hvyo v2 kama upeo wake n mdogo bas ujue kaboronga sehemu zote alzoshkilia
sasa fikiria uwezo wenyewe mdogo, af mtu anataka kuchukua mikazi yote hiyo afanye peke yake unategemea nini hapo?
 
ha ha ha ha ha! Yan utafkir perfomance za kwenye graduation za primay! Ukiwaulza umeanza kuigza lin utaskia.."mm kipaj changu kipo kwenye damu" kwan damu ndo inavaa uhusika?..
wakati nasoma sekondari shule yetu ilikuwa nzuri sana kwa drama, tulikuwa na mashindano ya drama na shule za wilaya ile. tulikuwa na mwalimu alikuwa mtunzi mzuri sana wa michezo, yaani hata tukiigiza sasa tunaweza tukawa wazuri sana kuliko haya masinema yao.
Nilikuwa pia actor mzuri sana. nakumbuka yaani ni kama somo. mnapewa scripts, unaisoma mwezi mzima, then mnaanza mazoezi, ni kila siku muda ambao wenzenu wanaenda kazi za nje nyie zoezi kwa zaidi ya miezi, yaani mpaka muende mashindano ni ndani ya miezi kadhaa ya kufundishwa na ku-practice. kuna vipaji, yes, lakini kufanya kitu kizuri kunahitaji kufundishwa.
 
Hapo umenkumbusha tena! Kwa mwaka utakuta ray katoa movie 10 so it mean hapo kla movie itakua imeshugulikiwa kwa mwez m1 na siku 6.,. Hapo ubora utatoka wapi.... Kngne unakuta hemed kaweka wave kwenye nywele... Sasa story inakuja eleza kuwa ni baada ya miaka 10... Unakuta bado kaweka wave vile vile... So hapo kauvaa uhusika kivipi
 
sasa fikiria uwezo wenyewe mdogo, af mtu anataka kuchukua mikazi yote hiyo afanye peke yake unategemea nini hapo?

Ni tamaa ya kutaka kupata vyote mwenyewe ndio inayowafanya wang'ang'anie kufanya kazi zote wenyewe wala sio kingine.
 
Back
Top Bottom