Click here to find out how 'Transformers: Dark of the moon' was made | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Click here to find out how 'Transformers: Dark of the moon' was made

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Michael Amon, Sep 1, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sitaki kusema mengi ila hii video yenyewe itajieleza. Tanzania tupo nyuma sana kwenye sanaa ya filamu...tuna mengi sana ya kujifunza kwa hawa jamaa hasa kwenye swala motion graphics.  Feel the power of motion graphics
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Rekebìsha url mkuu!
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mbona iko poa...Embu cheki tena mkuu.
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  si umeambiwa urekebıshe url au ushalala?
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ebwana weeee, huku kwetu bado, graphics kama hizi zinahitaji mashine za uhakika, mainframe computers, workstations blaza sisi bado uchumi hauko poa, tuishie photoshop tu
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  bado bana, napenda mg nataka kuona.
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwani tatizo ni mashine au tatizo ujuzi ndio hatuna?
   
 8. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Embu cheki tena mkuu
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  nimeiona umetulia sana, nakubaliana na wewe issue ya msingi hapa ni ujuzi sio mitambo advanved.

  tatizo waswahili tunapenda sana 'excuse'.

  angalia sinema zetu kwa mfano, kwanza lazima ziwe na majina ya kizungu wakati ndani 99.5% lugha inayotumika ni kiswahili, asilimia .5 inayobaki ni kizungu kibovu kabisa,

  kwa mfano ili ijulikane kwamba huyu ni mke lazima mwanamume aseme 'mke wangu' kila anapoongea naye... hiyo nayo tunahitaji mitambo ya kisasa kuirekebisha?

  au kutengeneza movie ambayo itamaliza story bila kuwa na part 2 inahitaji mitambo ya kisasa pia?

  hata ukiletewa studio ya disney nyumbani, kama huna ujuzi ni kazi bure.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Aiseee!!! hapo kwenye red umenichekesha sana mkuu. Lakini usemayo ni ukweli mtupu wala hakuna uongo. Ndio maana mimi huwa siangalii movie za bongo maana nikiangalia nitaanza kuzikosoa mwanzo mwisho.
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  teh teh teh... badala ya ku enjoy movie unaishia kupata stress.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  We acha tu mkuu.
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  statement yako siikubali, ni ya kukatisha tamaa. kuna vitu vingi sana tunaweza kujifunza bila hizo sijui mainframe
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Young Master wapo wajuzi ila uta apply wapi ujuzi wako na vifaa hakuna? mfano uwe mwalimu wa kemia uliebobea afu shule haina maabara, ujuzi wako utawaoneshaje madenti?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  si ndio hapo tunaishia kuwachakachua madenti.
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Lukansola Young Master mi sikatishi tamaa nasema reality. if u could see things in my perspective mngenielewa. hatuna vitendea kazi ulafi wa watu wachache...hebu google budget ya kutengeneza transformers ndo utaelewa nnachomaanisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu C6 kwenye swala la ukosefu wa vitendea kazi nakubaliana na wewe kwa aslimia 100%. Lakini mfano ikatokea mtu akaamua kutoa msaada wa hivyo vitendea kazi, je tuna utaalamu wa kutosha wa kuweza kuvitumia hivyo vitendea kazi ipasavyo na vikatoa matunda ya kuridhisha kama ya wenzetu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. N

  Nyasiro Verified User

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  muda nao
   
 20. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nmekupata sana mkuu! Ndomaana huwa spend kuchek muvi za kibongo! Wa bongo hatujui kutofautisha kat ya muvi na tamthiliya., mtu kwenye muvi anaonyesha tukio kwa asilimia 100 kama ni harusi bas gari ltaonyesha kila kona lnayopta... Af waigzaj weng wa bongo wanaangaliaga movie zao tuu ndo maana hamna wanachojifunza.... Wakienda mbali wameangalia za nigeria ambao hawajatuacha mbali sanaaa. Na sijui kwanini 90% ya muvi zetu n mapenzi? hv kwan lazma kila muvi mlinz awe mchekeshaji? au ni lazma kila anaetoka kijijini awe mshamba anakaa chini na viatu amevishika, au kila anaetoka kijijini anashndwa kuvuka lami? ifke mda tubadilike...... Skuiz hata vjijn kuna lami na sofa japo si sehemu zote na hata hzo sehemu watu wanavjua vtu hvyo

  skio la kufa halisikii dawa
   
Loading...