Clement Mwandambo: Mzee kutoka Mbeya Anaetrend katika mitandao ya kijamii

Clement Mwandambo: Mzee kutoka Mbeya Anaetrend katika mitandao ya kijamii

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
Kajizolea umaarufu kwa video za ushauri huko tiktok na instagram

Si hivyo tu, kajizolea umaarufu kwa namna ya kipekee, mwisho wa video zake husisitiza "Nachoka mimi Baba yenu Clemence Mwandambo"

Eneo la makaz - Mbeya Mjini

Kabila - Msafwa

Shughuli - Mmiliki wa shule ya St Clemmence

1760962649781.png
 
Back
Top Bottom