Clautos Chama Vs Haruna Moshi "Boban" nani fundi zaidi?

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Wakuuu habarii za asubuhiii

Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa anacheza mpira lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira.

Naomba kuwasisha tafadhali
 
Wakuuu habarii za asubuhiii

Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira.

Naomba kuwasisha tafadhali
Una umri gani ?
 
Yaan .....
Chama vs feisal
Chama vs ajibu
Chama vs aziz ki
Chama vs ntibanzo...
Chama vs akaminko
Chama vs pape sakho

Sasa ni chama vs boban..
Hadi hapo hamjapata majibu nani bora.....
 
Yaan .....
Chama vs feisal
Chama vs ajibu
Chama vs aziz ki
Chama vs ntibanzo...
Chama vs akaminko
Chama vs pape sakho

Sasa ni chama vs boban..
Hadi hapo hamjapata majibu nani bora.....
Achilia mbali hawa walipo, kuna wachezaji wengine watasajiliwa msimu unaofuatia, na watafananishwa tu na Triple C
 
Wachezaji wa kibongo hawa jitambui ila wanavipaji kikubwa, kama ulimuona Boban utakiri tu ni zaidi ya Chama.

Kuna list ya wachezaji wabongo kama Kapombe, Shabalala, Ngasa,Lunya, Boban hawa nilitegemea siku moja waende mbele,bahati Kapombe ,Boban hata Ngasa walipata nafasi nje ila wakazingua.
 
Yaan .....
Chama vs feisal
Chama vs ajibu
Chama vs aziz ki
Chama vs ntibanzo...
Chama vs akaminko
Chama vs pape sakho

Sasa ni chama vs boban..
Hadi hapo hamjapata majibu nani bora.....
Yaani shidaa tu
 
Wakuuu habarii za asubuhiii

Mimi binafsi nimepata kumshuhudia mwambaaa wa Lusaka Clautos Chama akiwa lakini kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kumwangalia Haruna Moshi Boban akiwa anacheza mpira.

Naomba kuwasisha tafadhali
we mdogo sana au mpira umeauanza juzjuz..
Yaan hujamuona BOBAN!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom