mwenyekiti mwenyewe cna imani nae, anabariki mwingine live
Mwenyekiti anatenda kwa uwazi na usiporidhika si kuna kamati ya sheria unakata rufaa, kule wapo Ruttashobolwa, Kipipi ila sina uhakika kama Judgement nae karudi ofsini
mwenye macho haambiwi tazama, ila wanjanja hujua jinsi ya kula na kipofu
nimejifunza ila haiaply tena, am singo for lyf
mwenye busara angeuliza kwa mapenzi , vp huko si kuchukua uamuzi
sitaki mie moyo wangu kutobolewa kama SAFINET
narudia kuacha siwezi ila ni busara kumpisha aliyetunukiwa ajinafasi
yaani una bahati nishawowa...nashindwa kuelewa binti mrembo kama wewe wanaume wanakutosa, najua bado hawajajua urembo wako
hata nikimtaja ntazidi umia tu maana inaonyesha kajipanga
am here to listen, cku hizi umekua BAK,
heeeeeee..... mbona upo kasi sanaa aiseee baba angu