solola bien!n tombokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!..namshauri ahamie kwangu...hahahahahaha
UUUWIH!Si bora hata wa kiuno utachomolewa...!!!
Huku CC kila leo tunayashuhudia, kali kuliko yote juzi kati tu kuna kidudu mtu mwenye jinsia mbili kaumbuliwa mchana kweupe, pale moderator walipochana GAGULO lake hadharani...
UUUWIH!
utamchoma wapi sasa huu mtani?
nihurumie mbavu zangu mie lol!sinifanyie hvo!
Huku CC kila leo tunayashuhudia, kali kuliko yote juzi kati tu kuna kidudu mtu mwenye jinsia mbili kaumbuliwa mchana kweupe, pale moderator walipochana GAGULO lake hadharani...
Niliingia mzima mzima , nikajiamini, nikaona unatoka familia bora yenye malezi ya wazazi wanaojitambua ,
kumbe ckujua ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo,
Blaza!
Taratibu basi, aste'aste
Wengine tuna maaleji'sugu tukiskia tu neno GAGULO tunahemkwa Unnecessarly!
Blaza!
Taratibu basi, aste'aste
Wengine tuna maaleji'sugu tukiskia tu neno GAGULO tunahemkwa Unnecessarly!
Ukila sana MAHARAGE tegemea na MASHUZI pia...
heheh! mkuu mbona hapo bado ni sebuleni, je tukitaja CHUMBANI????
Ni nani yeye atuletee sheria hapa, funguka mazima, huku ndo chit chat, Where we dare to talk, love, hate and meet OPENLY. Mchane laivu huyo alokutenda afu tuma copy kwa mwenyekiti
aahahahhhahhhahhahaha najuuuta kukujua!
Mola wangu anisaidie tu kha!nimecheka kwa sauti ujue.
hapo chacha !
hapo katajiwa mitaa miwili kabla!
ukisema yule nxt door neighbor!
mgegedano huo. Watu wanaznguana sanashemeji saidia mimi!kuna nini pande hizi siku mbili tatu hiz?
mgegedano huo. Watu wanaznguana sana
wana kazi basi!lol!
Dah . . . .yaani kuna mtu hapo umemtaja vizuri kweli kumbe ndo mharibifu na mnafiki number one!BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hili Pia naomba kamati ya inteligensia na usalama wa chit chat ikae na kumchunguza kwa angle zote C. T. U kama alikuwa na nia njema alipoleta sheria hii kandamizi ya kuficha waovu na maovu yao. Cc: rutta chief judge wa cchc, bishanga mfadhili wa cc, Baba V mwenyekiti, gfswin mshauri, madam B, na wadau wengine(itifaki haijazingatiwa hata kidogo!)
Dah . . . .yaani kuna mtu hapo umemtaja vizuri kweli kumbe ndo mharibifu na mnafiki number one!
Fuatilia tu sauti yake utaigundua! La sivyo kuwa mwangalifu na kila unaepishana nae mpaka pale jipu litapopasuka!itabidi uwe shahidi namba 1 wa hi kesi. Ila pia si vibaya ukaniambia hata kwa siri ili asije akaniharibu na mimi, uharibifu mbaya kipipi