Structural design services

Eng Inc

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
627
931
Habari! Ni matumaini yangu mpo salama.

Niende kwenye topic.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninatoa/tunatoa huduma ya Structural Design (Buildings Design) kwa wasioelewa hapa ni kwamba ninafanya/tunafanya huduma ya kudesign na kuandaa michoro yote ya jengo (Ghorofa moja na kuendelea) kuanzia msingi hadi paa, pia tunaandaa Structural Calculations za michoro hiyo.

Vilevile tunatoa ushauri (Consultation) bure kwenye masuala yote yanayohusu ujenzi hasa wa Maghorofa (Conceptual and Detailed informations). Tuna uzoefu wa kutosha kuhusu masuala yote yanayohusu design ya Maghofora, Nimetumia neno "Tuna" kwasababu: Baada ya michoro hiyo (wengine wanaita ramani) kuandaliwa ni lazima ithibitishwe, kupitishwa na kurekebishwa kama itakua ina makosa na Registered Civil Engineers.

Sambamba na kutoa ushauri kuhusu ujenzi wa Maghorofa pia tunafatia vibali vya ujenzi hasa vya Maghorofa kwa upande wetu.

Pia nimeambatanisha baadhi ya michoro tuliyoiandaa ikiwa kwenye PDF format, unaweza kudownload na kujifunza kitu hasa kwa wale Wahandisi wenzangu na wote wanaohitaji kujifunza na wanaohitaji huduma zaidi.

Gharama zetu ni nafuu sana na huduma zetu ni uhakika na wenye viwango kuweza kumrahisishia kazi fundi (Technician or Artisan) kusoma mchoro bila shida yoyote.

Kwasasa nipo kwenye mchakato wa mwisho wa kuandaa na kukamilisha kampuni yangu binafsi ya Building and Civil Consultants kwa kushirikiana na jopo la Engineers wangu tunaofanya kazi hii kwa muda mrefu sasa.

Tunapatikana Morogoro Mjini ila tunafanya kazi nchi nzima.

Kwa mawasiliano na ushauri zaidi unaweza kupiga simu na kutuma sms kwenye namba
0657 747722 au 0766 303697

Wote Mnakaribishwa
 

Attachments

  • 1.pdf
    230.2 KB · Views: 2
  • 2.pdf
    259.7 KB · Views: 2
  • 3.pdf
    277 KB · Views: 2
  • 4.pdf
    188.7 KB · Views: 2
  • 5.pdf
    339.9 KB · Views: 2
  • 6.pdf
    241.7 KB · Views: 2
  • 7.pdf
    254.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom