PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,277
- 2,000
Nimeipenda hii inaonyeshwa citizen tv live makamishna wa police kenya wanafanyiwa vetting kwenye panel, jamaa wanauliza maswal ya kufa mtu, Tz tuige mfano huu tuone cku moja akina kova, chagonja et al wanatueleza uadilifu wao ktk utumishi wa jeshi!