CISA vs ACCA

tungibwaga

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
51
Reaction score
11
Jamani naombeni ushauri Nina Bcom option Accounting,nataka kuongeza ufahamu kidogo nipe ishauri nisome nini kati ya CISA OR ACCA
 
Ushapata CPA?. kwa nini usichukue CPA Kwa ufahamu wangu kama sasa huna kazi chukua CPA itakusaidia zaidi kwa hapa bongo ukilinganisha CISA na ACCA lakini kama una kazi tayari unaweza ukasoma ACCA na utakua juu zaidi.
 
ACCA inakufaa CISA ni nzuri kwa watu wa IT
 
kama unapanga kufanya kazi za audit, Certified Information System Auditor(CISA) ni nzuri sana na kwa sasa ndio inapanda chati,na kwa Tanzania watu wachache sana ndio wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…