CIA walimuua Bob Marley?

Mkuu,nisaidie kuipata nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangeee mbata kwelikweli
hata Mbaraka Mwinshehe kwenye ajali yake nadi wakashindwa mtolea Damu huko Kwnya ni CIA
Hata Marehemu Kinyambe aliuawa na CIA wakishirikiana na MI6 ya Uingereza baada ya kuhisiwa kuwa umaarufu wake unataka kuzidi wa Mr. Bean! Hii ni habari ya siri sana ambayo Snowden anataka kuitoa hivi karibuni!
 
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Sio bange bob alikuwa na kipawa cha kuona mbali pis1 aliwajua mawakala was shetani dunian aka freemason illuminant nk alipokuwa akiimba muda mwingi alionya kuhusu watu hao sikiliza nyimbo za one drop,jah live,guiltnes,ride natty ride nk sikiliza uelewe hasa ktk jah live anaposema JOHN SAW THEM COMING WITH THE TRUTH FROM ANCIETY TIME mungu akujaalie uelewe maana iliandikwa MNA macho na hamtaona na maskio na hamtaelewa ubarikiwe sana he was a philosopher a black prophet
 
Yaah ni kweli kabisa sikiliza na uelewe nymbo kama babylon system na we and them (we people and them Babylonians)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…