CIA: Siku 100 za mapinduzi ya Zanzibar

Cesar Saint

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Messages
234
Points
500

Cesar Saint

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2016
234 500
Tarehe 12 January 1964 ni siku itakayoendelea kukumbukwa kama siku ya mwisho ya ukomo wa utawala wa KiSultani visiwani Zanzibar.

IMG_2506.JPG


Kuna mambo mengi ambayo hayakuwekwa wazi kuhusiana na mapinduzi haya ya kihistoria kuondoa utawala onevu Zanzibar.

IMG_2507.JPG


Je ni nani alianzisha mapinduzi haya? Nini kiliwapata watawala?Nani alitoa ushirika wa kifedha na mafunzo kwa wana mapinduzi? Na vingine vingi

IMG_2505.JPG


Mwaka 2007 May serikali ya marekani iliachilia waraka wenye kurasa 170 ikielezea kinagaubaga mapinduzi haya.
IMG_2504.JPG


Chukua muda kuipitia.

https://www.cia.gov/library/readingroom/docs/esau-28.pdf

Information is power


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
2,136
Points
2,000

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
2,136 2,000
Baada ya mapinduzi haya karibu viongozi wakuu wote walioshiriki katika haya mapinduzi walianza kusalitiana wenyewe kwa wenyewe na kupelekea wengi wao kupoteza maisha na wengine kuishi kizuizini.

Maendeleo hayana chama
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
33,393
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
33,393 2,000
Leo tarehe 12 January ni Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, nachukua nafasi hii kuwatakia nyote heri na fanaka za Mapinduzi na kukutakieni maadhimisho mema ya sherehe ya kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa watakao shereheka kwa wale wenye kumbukumbu njema, na kwa vile Mapinduzi Matukufu yale pia yaliandamana na umwagaji damu, natoa pole kwa wenye kumbukumbu chungu.
P
 

Forum statistics

Threads 1,392,339
Members 528,599
Posts 34,105,704
Top