CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

Hawa akina dada wa kimarekani ambao hawajolewa huwa ni wanafiki sana kuhusu waume za watu. Unaweza kujiuliza kama yeye mwenyewe alikuwa ni mwanamke decent aliyebahatika kupata access ya kukaa na jemedali katika maeneo ya vita akijua kuwa jamaa huyo hajalala na mke wake kwa mda mrefu, kwa nini akubali kulala naye halafu baadaye atangaze?
 
Really, that is your excuse?!
 
Uswahili mzigo mama.
Nimekumbuka naibu speaker aliulizwa na media una watoto wangapi, akasema sijui. Inamaanisha analoweka kila akipata chance and not necessarily kuendelea kufuatilia. Mweeh!
Wenzetu wako mbali sana,bongo cfa mojawapo ya kiongozi ni kuwa na nyumba ndogo kibwena !!
 
Hawa akina dada wa kimarekani ambao hawajolewa huwa ni wanafiki sana kuhusu waume za watu. Unaweza kujiuliza kama yeye mwenyewe alikuwa ni mwanamke decent aliyebahatika kupata access ya kukaa na jemedali katika maeneo ya vita akijua kuwa jamaa huyo hajalala na mke wake kwa mda mrefu, kwa nini akubali kulala naye halafu baadaye atangaze?
Mkuu hii habari ni Petreus mwenyewe kaja clean,sasa labda alijuwa lazima ita julikana,lakini yeye ndiyo wa kwanza kuiweka hadharani.

Pili,siyo kwamba napingana na assumption yako ya "wanawake wa kimarekani ambao hawajaolewa",ila ukweli ni kwamba hata huyo mdada na yeye alikuwa ameolewa,fuatilia hiyo linki hapo chini...
Exclusive - Push-up Contest to Benefit Wounded Veterans - The Daily Show with Jon Stewart - 01/25/12 - Video Clip | Comedy Central
 
Hawa akina dada wa kimarekani ambao hawajolewa huwa ni wanafiki sana kuhusu waume za watu. Unaweza kujiuliza kama yeye mwenyewe alikuwa ni mwanamke decent aliyebahatika kupata access ya kukaa na jemedali katika maeneo ya vita akijua kuwa jamaa huyo hajalala na mke wake kwa mda mrefu, kwa nini akubali kulala naye halafu baadaye atangaze?

Hapana Mkuu,huyo Dada (Paula Broadwell) ni Mke wa mtu,ana watoto wawili wa kiume katika ndoa yake,anaishi na Mumewe ambaye ni radiologist (Dr) huko Charlotte.Kwa mujibu wa CNN,Gen.Dr Petraeus ilibidi ajiuzulu kwa sababu FBI walishaanza kufuatilia nyendo zake na huyo Mwanadada.Paula Broadwell ameandika Biography ya Generali aliyoipa jina la "All in".Kiutaratibu katika taasisi hizo za kiusalama ni hatari kubwa kuwa na mahusiano ya ukaribu/kimapenzi na mtu ambaye sio mke wako.Kwa sababu kutokana na mambo ya mapenzi anaweza kutoa nje classified information.Next week alikuwa anatarajiwa aende kwenye Congress kutoa maelezo kuhusu hali ya usalama ilivyokuwa Benghazi kabla ya kifo cha Balozi Stevens na wamarekani wengine 4,baadhi ya pundits wanasema sababu hiyo ndio imemfanya afikie uamuzi wa kujiuzulu.
 
Sio tu ku-cheat the whole issue smell fishy, siku chache alitakiwa akajitete mbele ya senate, gafla kaji hudhuru, Benghazi inawatafuna hawa jamaa, Roosevelt,Clinton na hata L. Johnson wote wakikuwa na vimada mbona hawakujiuuzuru wakuu. On this David caught off guard
 
Hawa akina dada wa kimarekani ambao hawajolewa huwa ni wanafiki sana kuhusu waume za watu. Unaweza kujiuliza kama yeye mwenyewe alikuwa ni mwanamke decent aliyebahatika kupata access ya kukaa na jemedali katika maeneo ya vita akijua kuwa jamaa huyo hajalala na mke wake kwa mda mrefu, kwa nini akubali kulala naye halafu baadaye atangaze?
Women we love powerful men .yaani huyu dada Ana mume na watoto.ana miaka 38 babu wa miaka 60 jamani.mume wake atajisikiaje ?.mke wake kalala na general wa nguvu
 
Source BBC
Katika taarifa ya habari asubuhi vigogo wawili mmoja akiwa mkurugenzi wa CIA na mwengine akiwa ni mkuu wa kiwanda cha kutengeneza siraha wote wakiwa na kesi ya kuna na mke wa nje ikimaanisha kuwa na nyumba ndogo kimewafanya waachie ngazi kwa kudanganya familia zao na kwa heshima ya nchi yake na vyeo vyao hawaoni kama wanawatendea haki wananchi.

Najiuliza hapa vigogo wetu na kesi zao kwenye ndoa hapo sina cha kusema zaidi kila mtu ni mchafu je na kesi za mauwaji na wizi lakini wapo kama vile sio wao ni kweli tunajifunza?????
 
We vipi bana.
Nani aachie ngazi hapa wakati ruksa ipo kuwa na hadi wake wanne.
 
Ok. Funny though how its only your English grammar that gets caught up with your Iphone.

By the way, how would you have said it if it weren't for your Iphone somehow messing up with your English?

Did you understand the message? Then message delivered!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kuna umuhimu viongozi wetu kufuata mfano huo.

Mkuu Ritz
Tukifanikiwa kwenye hilo taifa litapunguza gharama nyingi tu kuanzia ufisadi hadi zile safari za matibabu India

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sio tu ku-cheat the whole issue smell fishy, siku chache alitakiwa akajitete mbele ya senate, gafla kaji hudhuru, Benghazi inawatafuna hawa jamaa, Roosevelt,Clinton na hata L. Johnson wote wakikuwa na vimada mbona hawakujiuuzuru wakuu. On this David caught off guard

I think he used the issue as a cover up; there is untold story behind his resignation; his time with agency was over; the facts that he was too close to Romney campaign that means he knew for sure Obama will fire him from the agency; so to defend his character he chose the reason nobody knew about.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu wa CIA Gen. Petraeus amekabidhi barua ya kujiuzulu kuliongoza shirika la kijasusi la Marekani CIA kutokana na tuhuma za kufanya mapenzi kinyume na maadili ya ndoa; Raisi Obama amekubali kujiuzulu kwake. Uadilifu wa kiongozi unaanzia nyumbani; viongozi wetu Tanzania wanatakiwa wajifunze kwenye mambo ya uadilifu na wawe wakweli kwa wananchi wanaowatumikia; leo siasa imegeuzwa kama mradi wa kuwaridhisha vimada; ukiangalia kwenye wabunge wa viti maalumu ni utitiri wa vimada. Vingozi badilikeni!

Developing story:

November 9, 2012

NBC reported Friday that CIA director David Petraeus has resigned from the CIA, citing an extramarital affair.

NBC's Andrea Mitchell said the resignation was submitted in a letter dated Friday and was accepted by the White House.

In a letter, Petraeus noted that he had been married for 37 years and had exercised "extremely poor judgment' in conducting an extramarital affair.

Petraues took over as head of the CIA in September of 2011 following his tour as head of allied forces in Afghanistan.

Chama
Gongo la mboto DSM

Safi sana. Huu ni mfano mwingine wa kuigwa na viongozi katika nchi yetu ambao wamebobea katika....
 
Thubutu,wataiga kuficha fedha uswisi tu,na wakiamua wajiuzulu mbona tutakosa serikal...
Safi sana. Huu ni mfano mwingine wa kuigwa na viongozi katika nchi yetu ambao wamebobea katika....
 
And the General did go "All in" as her book title suggested

It was out there all along

🙄
 
Back
Top Bottom