CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

if he is a republican ( conservative) alaf ashakuwa general wa jeshi, Kujiuzulu ni ishu ya kawaida
ila sidhani kama angeweza kujiuzulu kama Romney amemuahidi kugombea naye kama VP wake, cz hatosahaulika kwamba alicheat. and who knows Romney will be alive after 4 years!!!!

unajua huwezi kucheat for the first time at the hage of 60,thats unrealistic and its just an excuse.
suala la kuwa gay, i doubt cause huyo mwanamke angeweza kuja hadharani na kusema ukweli ili kulinda ndoa

hilo la kucheat litakuwa na ukweli cz asingeweza kuharibu maisha ya couple nyingine if it wasnt true
inawezekana mke wake alishtukia ishu nzima akampa sharti la kujiuzulu ili kulinda ndoa afterall muda wa kazi ulikua umekaribia kuisha baada ya kufichua yote pamoja na wa zamani.

au inawezekana mume wa huyo mama alishtukia moango mzima ikamlazimu kuachia ngazi.
au inawezekana aliongea mengi na huyo mama kuhusu Beghazzi na asiposema hayo hayo kwa Senate huyo mama angeweza kufunguka ghafla.

Tusuburi uamuzi wa mke wake na wa huyo Radiologist. its so dramatic unaweza kutengeneza TV Series

all in all there are so many theories but being Gay and kugombea na Romney JUST. DONT FIT IN
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1352529899.847170.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1352529899.847170.jpg
    15.7 KB · Views: 47
Ndio maana amecheat he is moderate republican .we republicans conservative values and morals kwanza.una cheat your out angekuwa democratic angebakia.

Under democrat administration, kila 'ovu' litahalalishwa kuwa jema.
Kwa hiyo ni swala a muda tu hata 'cheating' nayo itahalalishwa Marekani (mwaka 2016 ???)
Ngoja tusubiri tuone Obama atafanya nini katika hili.

Hebu tuangalie records hapa chini:-......
Mwaka 1993 -
Bill Clinton...

In the early 1990s, large numbers of military personnel were opposed to letting openly gay men and lesbians serve. President Bill Clinton, who promised to lift the ban during his campaign, was overwhelmed by the strength of the opposition, which threatened to overturn any executive action he might take.
The compromise that came to be known as “don’t ask, don’t tell” was thus a useful speed bump that allowed temperatures to cool for a period of time while the culture continued to evolve.
Source: -
http://www.nytimes.com/2007/01/02/opinion/02shalikashvili.html?_r=0

Na sasa tunaona, rais Obama hatimaye 'amekunbatia' ushoga, ambao miaka ya 1990 ilikuwa ni uovu mkubwa sana ambao ulipigwa marufuku kwenye sera ya 'dont aks, dont tell'
 
Rais Barack Obama amemkubalia Jemedari David Petraeus kujiuzulu kwa kashfa ya kuwa na mpenzi mwingine.

Amesema alifanya kosa kuwa na kidumu huku akiwa na Mke anaempenda na ambae amedumu nae kwa miaka 30,Kwa kitendo hiki amesema hakifai kwa mtumishi anaefanya kazi kwenye Taasisi inayoshughulia Maswala Nyeti ya Nchi.
 
Rais Barack Obama amemkubalia Jemedari David Petraeus kujiudhuru kwa kashfa ya kuwa na mpenzi mwingine.

Amesema alifanya kosa kuwa na kidumu huku akiwa na Mke anaempenda na ambae amedumu nae kwa miaka 30,Kwa kitendo hiki amesema hakifai kwa mtumishi anaefanya kazi kwenye Taasisi inayoshughulia Maswala Nyeti ya Nchi.

Sasa timezidi, hata kiswahili chetu! Nini maana ya 'ajiudhuru'?
 
Rais Barack Obama amemkubalia Jemedari David Petraeus kujiudhuru kwa kashfa ya kuwa na mpenzi mwingine.

Amesema alifanya kosa kuwa na kidumu huku akiwa na Mke anaempenda na ambae amedumu nae kwa miaka 30,Kwa kitendo hiki amesema hakifai kwa mtumishi anaefanya kazi kwenye Taasisi inayoshughulia Maswala Nyeti ya Nchi.
 
Kwa Tanzania mtu asipokuwa mzinzi hasa mwanaume anaonekana wa ajabu.
 
"uzulu" na "udhuru" ni maneno yenye maana tofauti

Huyo mkubwa tunaweza kusema kajiuzulu baada ya kupatwa na udhuru
 
Au iwe

Rais Barack Obama amekubali udhuru wa Jenerali David Petraeus ili kujiuzulu kwake
 
Kwanza kama ingekua ni tanzania,basi ofis zisingekuwa na mtu
 
Huko ni nchi za wenzetu wanaojua maana ya utumishi wa umma na uwajibikaji. Hapa kwetu ungesikia "sijiuzulu ng'o" halafu majuha mengine yangemtetea kwa visababu uchwara kama "aliyemteua bado anamwona anafaa", "mwanamme wa kiafrika kuwa rijali ni kawaida", na upuuzi mwingine kama huo.

By the way, hivi kashfa ya uzinzi (nje ya ndoa) na kuficha mabilioni Uswisi ipi kubwa na inayohitaji uwajibikaji wa mara moja au kufukuzwa kazi?
 
Vitu vingine vidogo vidogo sana,ukigundua mtu kakosea,unasahihisha tu.

Si ndio kama hivyo nilivyofanya, au vipi?

Nimesahihisha kwa kutoa mifano ya maneno hayo yanavyopaswa kutumika ili iwe faida kwa wengine
 
Kama mambo mengi ya sirini yangewekwa wazi wengi wasingeamini kilichoko nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom