Naona unataka kuleta ligi kwenye dunia ya sasa ya ujasusi na udukuzi kila taifa kubwa hufanya udukuzi..NSA na CIA hufanya hivyo kwa mataifa yote ndio maana tunaona CIA ikifika kipindi fulani huachia nyaraka za siri za taifa fulani za miaka 30 nyuma nk..Hata Urusi na North korea nao aliwadukua sio...?
anamla nnKuna picha moja imeleakishwa kule twitter,
lijamaa moja limevaa kama daktari,koti jeupe,ameshika msumeno wa kukatia mifupa,bonesaw mkononi,kisha kwa chini kuna vipande vya nyama ,halafu kuna box la mbao liko wazi nadhani likisubili kuwekwamo hivyo vipande vya kashoggi,
Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili,
MBS ni katili sana wala humlinganishi na kina Saddam,huyu ni mnyama,
miezi miwili iliyopita walimkosakosa kumuua,yeye na babake wakakimbilia sultan airbase ambayo ni base ya wamarekani,
Mbs analindwa na mamluki wa Blackwater,hawa ni security contractor wanaongozwa na mmarekani Erick prince.
Mbs yuko karibu sana na jerald kuchner,mkwe wa Trump,
kuna kipindi huyu kijana aliwahi kufiriska,Mbs akampa pesa za kutosha kurudi kwenye biashara,
fununu zinadai MBS anamla kuchner
jerald ni mwanaume labda anamla kibogaanamla nn
..Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili..
Kuna picha moja imeleakishwa kule twitter,
lijamaa moja limevaa kama daktari,koti jeupe,ameshika msumeno wa kukatia mifupa,bonesaw mkononi,kisha kwa chini kuna vipande vya nyama ,halafu kuna box la mbao liko wazi nadhani likisubili kuwekwamo hivyo vipande vya kashoggi,
Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili,
MBS ni katili sana wala humlinganishi na kina Saddam,huyu ni mnyama,
miezi miwili iliyopita walimkosakosa kumuua,yeye na babake wakakimbilia sultan airbase ambayo ni base ya wamarekani,
Mbs analindwa na mamluki wa Blackwater,hawa ni security contractor wanaongozwa na mmarekani Erick prince.
Mbs yuko karibu sana na jerald kuchner,mkwe wa Trump,
kuna kipindi huyu kijana aliwahi kufiriska,Mbs akampa pesa za kutosha kurudi kwenye biashara,
fununu zinadai MBS anamla kuchner
Jared Kushner.Kuna picha moja imeleakishwa kule twitter,

Andika kwa utulivu acha papara.Tatizo umejaa chuki hadi kutulia huwezi.undefinedTrump ana wakati mgumu sana,undefinedhuyo prince anatakiwa kustepdown kwanza kabla ya yote,undefinedundefinedsubiri sasa senema ya kubadili ukweli kuwa uongo
Jared Kushner yule Mme wake Ivana Trump?Kuna picha moja imeleakishwa kule twitter,
lijamaa moja limevaa kama daktari,koti jeupe,ameshika msumeno wa kukatia mifupa,bonesaw mkononi,kisha kwa chini kuna vipande vya nyama ,halafu kuna box la mbao liko wazi nadhani likisubili kuwekwamo hivyo vipande vya kashoggi,
Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili,
MBS ni katili sana wala humlinganishi na kina Saddam,huyu ni mnyama,
miezi miwili iliyopita walimkosakosa kumuua,yeye na babake wakakimbilia sultan airbase ambayo ni base ya wamarekani,
Mbs analindwa na mamluki wa Blackwater,hawa ni security contractor wanaongozwa na mmarekani Erick prince.
Mbs yuko karibu sana na jerald kuchner,mkwe wa Trump,
kuna kipindi huyu kijana aliwahi kufiriska,Mbs akampa pesa za kutosha kurudi kwenye biashara,
fununu zinadai MBS anamla kuchner
JK so soft sana sishangai kusikia analiwa na MBSKushner alianza kujiweka mbali na MBS toka fununu za kushilikiswa kwenye mauaji zianze. Sijui wataliepuka vipi hili..
[emoji23] [emoji23] ....kwa yule moyo umegomaHaha!, haki nyie.
Huwezi jua Wit, anaweza kuonekana soft kwa nje lakini kwingine yuko hard...lol