simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,679
The US National Security Agency (NSA) is usingNimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
""Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba hao wauaji walikuwa ni wafungwa wa makosa makubwa kama ya mauaji na walitumiwa kwa kazi hiyo ambayo iliratibiwa na hao niliowataja hapo juu, ingawa hakuna ushahidi.
Hivyo wafungwa hao inawezekana wanasubiri kunyongwa kabisa kumaliza kazi na maisha yataendelea.""
Mkuu kuna kitu nimekuelewa hapo...kwenye hiyo comm'nt yako.. na ndio maana unakuta mission imefeli kabisa kutokana na kukosa uweledi.. lakini hata hivyo mpango si uliratibiwa na "inner cycles" wa MBS ...(kwa mujibu wa cia)..imekuwaje mpango upangwe kizembe namna ile ..??..
The US National Security Agency (NSA) is using
voice recognition software to spy on people and
detect their locations, according to declassified
documents obtained by the media. The NSA has
been recording and gathering private phone calls to
identify people by their unique “voiceprint” for more
than a decade.
Zingatia "voiceprint"
undefinedTrump ana wakati mgumu sana,undefinedhuyo prince anatakiwa kustepdown kwanza kabla ya yote,undefinedundefinedsubiri sasa senema ya kubadili ukweli kuwa uongoSasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!
What are the consequences following sasa?...America 'll punish crown prince or ndio nitolee?Wale Wa Saud 17 waliowekewa vikwazo kuhusiana na mauaji kumbe walikuwa wajumbe tu. Wanatimiza amri ya Boss, wakati mwenyewe kawekwa mbali.
Unless kama watafanya chochote baada ya haya matokeo.
Kaliamsha dude kweli...Salman anaonekana kabisa kuwa ni BarbarousYaani hii conclusion ya CIA inabeba vitu vingi tu kwenye diplomatic crisis.
Ya Saudia na Marekani na dunia kwa ujumla.
Mahusiano ya Trump especially, na the royal family. Halafu kuna Kuna King, sijui atapewa nafasi gani kwenye hili.
Prince kaliamsha..
Na wazungu kwa kujifanya wako against na inhuman....kumbe wanaangalia maslahi tu!Interesting!
Hapa Itakuwa Politics Vs Human rights.
Kwahiyo waliseize before arrival at the destined place?[emoji15]Richard au nimeelewa vibaya?!
Wamesema the phone call was " Intercepted"
Duuuh...asante mkuu, but Salman alijua mchezo wote A to Z aache kuidanganya duniaKashoggi alikuwa anawindwa na lilikuwa ni suala la muda tu.
Kilichotokea yaani mission kufeli ni kwamba wale watu walikuwa wanatekeleza ile "extradition process" kwamba wamchukue na kumpeleka Riyadh.
Lakini alipokataa ndipo wakaanza kupigana humo ndani na masumbwi kutupwa lakini Khashoggi alikuwa pake yake dhidi ya watu zaidi ya 20, hivyo akashindwa vita hiyo na kudungwa sindano ya sumu au yenye dawa kali ya usingizi.
Dawa hiyo ilikuwa ni kali na ikamfanya apoteze fahamu na mwishoe kupoteza uhai na hayo ni maelezo ya majasusi wa Uturuki.
Khashoggi alifanya kazi ndani ya balozi za Saudia mjini London na Washington, hivyo alikuwa ni mmoja wa watu wa ndani kabisa yaani "jikoni".
Ukiwa mtu wa namna hii kwa nchi hizi kama Saudi Arabia, unatakiwa ama ukae kimya ule maisha au ujifiche kabisa, lakini sio kuonekana unatoa siri za wale waajiri wako wa zamani.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa mauaji ya Khashiggi yangeweza kuepushwa maana iinaelezwa kwamba CIA na MI6 walifahamu juu ya mpango wa kumteka Khashoggi na kumuua wiki tatu kabla!
Ila tayari Inasemwa kwamba Salman hakufahamu mpango huo kabisa, ingawa kuna mashaka juu ya hilo.
Hawa watu 15 walipelekwa Instabul kwa ajili ya kazi hiyo ya mauaji lakini Salman hakuwa anafahamu jambo hilo, hiyo ndo hitimisho.
Pia pale ubalozini kuna wafanyakazi wapatao 45 hivi na wote wanafanyiwa uchunguzi kubaini ni wepi walikuwa na mazungumzo na Khashoggi.
Ukitengeneza virus unakuwa na antivirus.Consulate zote zina encrypted phones ila wababa wanabeba mawasiliano
Yes! wa-intercept mipasho ya uswahilini huku kwa maslahi gani waliyo nayo! Calls za Middle East, Europe, Russia, China, India, Cuba, Israel, Iran, N/S Korea, Japan, Australia, etc. hizo ndio za ku-intercept na sio za mbunge fulani kumpigia mwenezi kuomba kuunga mkono juhudi....
Lakini sehemu, ama nchi zenye Dau kubwa ndio kunamulikwa zaidi.
Wakina sisi na utekaji wa kila leo unaoendelea, unaishia kupigiwa kelele kwenye media.
Then tunaachwa tupambane wenyewe na hali zetu..
Sasa ndio ushangae huku mnaita kila Mtu spy, ila hali mnaweza kuwa spied na wala msijue kilichofanyika.Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
oh yeah , wanaita 'Routing/Switching'Hatuwezi kushindana na wazungu, inasemekana kwamba ili umpigie mtu simu na apokee lazima kwanza ifike marekani halafu ndo irudi kwa huyu unayempigia hata kama utakua umekaa nae hapo hapo ulipo.
CIA si watu wa kuchezea; wapo juu sana ki technologia - wana uwezo wa kudukua hata mawasiliano ya Satellite Phones; Private frequency Phone kama zile wanazotumia Police na majeshi; wana uwezo kwa kuingilia mawasiliano yako yoyote ya kimtandao.Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
Kaka weka sawa namna hii.Hatuwezi kushindana na wazungu, inasemekana kwamba ili umpigie mtu simu na apokee lazima kwanza ifike marekani halafu ndo irudi kwa huyu unayempigia hata kama utakua umekaa nae hapo hapo ulipo.