Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,418
- 7,930
Chura Huyu Ni chura mkali zaidi duniani na mwenye hasira ya Hali ya juu Sana . Watu humwita chura mwenye hasira wengine humwita Askari wa shamba kutokana na ukali wake. Walimwita hivo kutokana na tabia za ukali alizonazo .
Mtu wangu chura Huyu Ni mkali kiasi ambacho yupo tayari kupambana na binadamu na inasemekana kuwa anaweza kuvunja mfupa wake Kisha kuutumia Kama silaha ya kushambulia adui wake.
Chura Huyu anapatikana sehemu za Afrika magharibi na huko nchini kongo .