Chura kiumbe wa karne

Chura kiumbe wa karne

Ilibidi watu wapotoke Sana kwenye suala la uzinzi Ili ule mwisho uje huku malkia wa uzinzi akiendelea kupoteza watu KUPITIA mitandao kwa speed ya ajabu.hakuna namna yanayokatazwa ndo yanayopendwa.waswahili kwao AFRICA bambataa.. UZURI WA NYUMBA NI CHOO
Mkuu sijazini muda nina miaka kama mi 4 hivi je Malaika wa uzinzi ananinyima acesss ya kupata wachuchu
 
Kuna ilani yake nako huko kama wale jamaa wanaovaa kijani...? mana wao ndo huwaga nawasikia wakisema ilani..

Hao wa kijani hawana Ilani zaidi ya vioja. Wenye ilani zao wapo huko mkuu. Ilani iliyofika kwa Mungu Baba
 
Mmmh. Chura tu huyo ndio umejua kumpangilia kiasi hicho duuuh.

Mie nakazia tu hapo kwenye kamstari ka tatu kutoka chini "huyo chura aendelee kuwatawala tu mpaka muingie pande za kuzimu" Teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mm
 
Hahhahha nimekumiss pia wakunyumba mm mzima sana hofu kwako jamani mambo yanabana sana mpaka kuingia jf mda unakosa
Yaani yanabana hasa Dada. Ila tubanane nayo tu kwa kweli sababu mwisho wa siku jf ipo tu na itaendelea kuwepo.

Mie Alhamdulillah. Uwe na mchana mwema ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom