APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,285
- 12,618
Hizi ngoma zinahamasisha kuf*ra miku**u
Hizi ngoma zinahamasisha kuf*ra miku**u
Mmh. Hii kali.
Nataka niingie huko nikaangali kinachojiri.....wadau wanadai ni sehemu nono na ndo nataka kujihakikishia....Mkuu kuwa mwangalifu, utawala wa chura ni zaidi ya uujuavyo. Intelejensia yao ipo makini. Ukizama huko kurudi ni muujiza. Angalia usiingie huko
Bwana Jokajeusi Umesahau kitu cha muhimu sana kwenye uzi wako, kuwa sisi wachina twala chura, nyama ya chura tamu bwana laiiini, kumpika chura huna haja ya kumuosha kama samaki amabae wamtoa majini kisha kumpika wamuosha kwanza. Chura laini pishi lake haliitaji moto mwingi kuiva wala hainahaja ya tangawizi kumlainisha. Uzuri wa chura huna haja ya kumgeuza pande mbili kama samaki wakati wa kumla.
sasa utakula chura bila kula jicho, TAMU YA CHURA JICHO .Samahani sana Shemeji yake Jack Chen. kumbe chura ni kitoweo matata huko kwenu. Vipi jicho lake mnalila pia?
Sijabisha mkuu, nimejiongelea tu mimi binàfsi yanguMkuu chura ndiye mtawala wa dunia. Hata umdharau ndivyo hivyo mkuu. Ukimdharau wewe hata mkeo anampenda
KashakubaliAliyesem uzi bila picha aitwe sasa
Kila zama na kitabu chake mkuu, bado ule uliotabiriwa wa wanaume kuwa na wake 7 nao wajaNimekuelewa Mkuu. Binafsi simpendi ila naona mamlaka yake inanguvu sana