Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
- Thread starter
- #41
Naomba mawazo yako ili huyu binti ABADILI TABIA ya kuacha chu pi yake bafuni.Nalog offnalog off! Loh
Naomba mawazo yako ili huyu binti ABADILI TABIA ya kuacha chu pi yake bafuni.Nalog offnalog off! Loh
kumpa yote mke wangu?Nalog offvipi jana yake ulimpa yote?
bafu lenu lina mlango wa gunia????
Nishapoa mkuu,fanya faster kabla my girlfriend wako hajarudi,yasije yakakukuta kama yaliyonikuta mie.Nalog offafadhali leo nimeingia humu maana ipo siku yangenikuta,hapa kwetu ni mabachala na mdada yupo mmoja ila siku nikiwa nyumbani huwa ananiambia kama mvua ikinyesha basi nimuanulie au zikikauka maana huwa anachelewa na mie huwa nazichanganya nguo zake hizo ndogo na zile kubwa halafu nazikunja kunja pamoja ila huwa nakuwa na mawazo sana ila sasa nitamuambia maana gf wangu karibia arudi toka mkoani nisijevunja uhusiano mie
Pole sana mkuu maana nimo humo
Umeona eh! ila yanasaidia kujua upande wa pili wa Shilingi.Nalog off
Mmmmmmh, maswali mengine bwana!
sawa,ila huyo njemba uliyekuwa naye pembeni ni Mzekezeke?Nalog offusiwe unalog off kabla watu hawajamaliza kukoment
Pole sana mzee wa kulog off kwa yalokukuta!
Umesuuza na yy kakulog off!! pole.
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu. Nalog off
basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,
Mmmmmmh, maswali mengine bwana!