Chupi imeleta kizaazaa

afadhali leo nimeingia humu maana ipo siku yangenikuta,hapa kwetu ni mabachala na mdada yupo mmoja ila siku nikiwa nyumbani huwa ananiambia kama mvua ikinyesha basi nimuanulie au zikikauka maana huwa anachelewa na mie huwa nazichanganya nguo zake hizo ndogo na zile kubwa halafu nazikunja kunja pamoja ila huwa nakuwa na mawazo sana ila sasa nitamuambia maana gf wangu karibia arudi toka mkoani nisijevunja uhusiano mie
Pole sana mkuu maana nimo humo
Nishapoa mkuu,fanya faster kabla my girlfriend wako hajarudi,yasije yakakukuta kama yaliyonikuta mie.Nalog off
 
Haya mabafu ambayo ni ya ku-share na milango haina makomeo kaaz kwel!

Au ulifanya kusudi kutofunga mlango ili jirani aje kuchukua chupi yake?

Ha ha ha haa!
 
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.

Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu. Nalog off

Vituko vya duniani na wewe. Unaonaje ungeokota ile chupi ukaitundika mlangoni bila kufua. Obvious una mahusiano nae mpaka chupi yake ikakuvutia kuishika na kufua.

Hama hiyo nyumba, mfuate mkeo huko alikoenda umrudishe, akikataa kurudi njoo kwangu mimi nitakupokea.
 
mkuu fanya kweli kabisa ujue moja na kama lawama bas zije huku umefanya kwel kuliko kupatA lawama wakat mzgo ujala
 
mkuu hujawaza kabisa....mke wako alipokukuta na hiyo chupi ungemwambia ni chupi yangu.
 
bora ujiite na log off.maana kila nikisoma maelezo yako,maneno yako ya mwisho ya ku log off,hunifanya nicheke tu
 
nasikitika kukujulisha kuwa wewe na mkeo na huyo mpangaji mwenzako, woote ni mazuzu magic.
Let the chupi rest in peace, kaihifadhi sandukuni mwako, mkeo akirudi umwambie ulikuwa ukiiombea hiyo chupi ya huyo mpangaji mwenyewe ili pepo wa mitego amtoke, na kimashine cha kuburudisha MBOZI cha mdada huyi kizibe kabisa.
 
Huyo mdada atakuwa nae anataka umsajili ktk himaya yako,au alikutegea kusudi chupi huyo.ndoa muhimu mbembeleze shemeji.
 


Mmmmmmh, maswali mengine bwana!
basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,
soma hii sehemu kwa makini kama unatumia akili na sio...........utajua kwann niliuliza ilo swali,
kama ni nyumba za kupanga kwann hakuufunga mlango wa maliwatoni
ina mana hakuna malango eiza ni wa bati au gunia koz mtu atazamaje gafla toi????????
hata kama alikua anamsubiri my wife wake sio tija ya yy kutofunga mlango akija angemfungulia nanukuu Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,

ndio mana nimeuliza mlango wa gunia nn mana ndio hua hazinaga vitasa na kama viko vimelegea
 
Back
Top Bottom