Chupi imeleta kizaazaa

Chupi imeleta kizaazaa

Story hii niliisoma kwenye gazeti la uwazi tarehe 21/02/1999.(swali kwa waliioa tu)
 
Kwa kuwa tatizo limekwishatokea na wewe hujalifanya basi huna budi kufunga safari au tafuta muda wa kuongea na mkeo na umwambie ukweli ingawa najua itakuwa ngumu sana kwa yeye kukubaliana na kila unachomwambia.
Kumwambia mwanamke ambaye mkeo anashutumu kuwa anatembea na wewe kumwimbisha kuwa hamna uhusiano ni sawa na kumuweka wazi kuwa mnafanya hayo mambo,kwa huyu endelea kumchukulia kama mpangaji mwenzako na muishi kwa mipaka.
Kusema kuwa huwezi lala peke yako huo ni udhaifu mwingine ambao unajaribu kutuonesha hapa na kuonekana kuwa inawezekana ikawa ni kweli kuwa unamchakachua mpangaji mwenzako,kwanini ushindwe kulala peke yako?Na kama hujazoea kufanya hivyo kwa sasa unalala na nani?
Ushauri wangu wa mwisho ni kuwa kama inawezekana hama hapo ulipo ili kuyanusuru mapenzi yako na mwenza wako maana hata akirudi basi ujue kila siku utakuwa ni mtu wa kurekebisha vitu ambavyo vitakuwa vinatokea baina ya mpangaji mwenzako na mwenzi wako.
Niko safarini kuelekea kwao kwenda kuangukia. Nalog off
 
una suuza chu pi ya mtu usiejuana nae? hicho kilanga!
 
Duh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?
Umenichenjia kibao? Lazima aninyooshee maelezo. Nalog off
 
Na usijaribu hata siku moja vinginevyo utaharibu ndao yako, na ukiharibu ndoa yako usidhani yule utakayempata atakuwa mzuri huenda akawa na matatizo makubwa kuliko huyu wa sasa. Kwa hiyo, jambo la muhimu niwewe kuhakikisha unaweka mambo sawa na mkeo na hasa kumwambia kwamba kuondoka kwenda nyumbani mbona anakuwa amekuwa nafasi ya kumpata huyo binti? Mwambia hapo anabomoa hajeng hata kidogo.

Wewe pia jaribu kutafuta angles fulanifulani ambazo zinaweza kumfanya akuamini zaidi, ni hatarini mke na mume kuishi maisha ya kutoaminiana kwa kiwango hicho inaweza kufikia mahali hata mkalishana sumu. Kwa hiyo, hakikisha kwa namna yoyote unamfanya mkeo akuamini na kuona wewe ni wake. Umesema kuna jambo lilitokea huko nyuma, eheee basi inawezekana bado una dalili zilizofanya jambo hilo litokee, hivyo futa dalili zite hizo naye atakuamini bila shaka. Haitakuwa rahisi jaribu hatua kwa hatua ataendelea kurejesha imani na hatimaye atagndua kumbe alikuwa anasumbuliwa na flashbacks (mambo ya zamani)
Niko safarini naelekea kwao akikataa kurudi ning mpango wa kufanya mgomo wa kutotoka nyumbani kwao muda wa siku 7. Nalog off
 
Kisa kimenifurahisha sana. Nitarudi baadae, acha nikapate cha mchana kwanza
 
mi mwenyewe nimeshangaa kweli...mwanaume mzima unapinda mgongo bafuni kusuuza chupi ya mwanamke asiye mkeo?? ngumu sana kuingia kichwani..yaani ni ngumu sana....
Mkuu tatizo umeshazoea vyoo vyenu vya kizungu kwahiyo unashindwa kuvuta picha jinsi gani choo chetu kilivyo,unachokiamini wewe ni kwamba mazingira ya vyoo yanafanana. Nalog off
 
kiherehere kimekuponza kaka wewe ungeirudisha kwenye msumari na huendelee kuoga,endelea sasa kumsuuzia kwa nafasi
 
Mzaha huu unauleta kwasababu hayajakukuta. Ila natamani siku umkute The Boss anaisuuza chu pi ya yule jirani yenu au mmeshahama pale mlipokuwa mnakaa zamani? Nalog off

Kwani umemkaribisha kwenye kampuni yako ya Udobi wa chupi za wananawake wooote hapo mtaani? Ana uwezo wa kuhesabu vidole vyake vya mikononi kwa hiyo hawezi fanya hivyo. Hii ni kwa mtu asiyeweza hesabu vidole vyake tu.
 
Why in the hell would anyone wash someone else's unmentionable?
 
Pole sana kwa yaliotokea,Lakini si unajua sheria ilivyo!
Toa hasira zako kwa alieleta kizazaa
 
Kweli huyu ndo Washawasha... Yaan mpaka unafua nguo ya ndan ya mwanamke asiye wako mmh? Ili iweje sasa na ulijuaje ni ya huyo mdada kama hujawah kuiona? Tabia hii sio njema kbsa.... Hebu jiulize kama ni ww unamkuta mywife anafua boksa sio yako? Nalog of
 
Back
Top Bottom