Chupi imeleta kizaazaa

Chupi imeleta kizaazaa

Duh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?
Saa hizi tungesikia murder kesi
 
Utasuuzaje chupi ya jirani yako??, May be una-interest nae.
Sasa umepewa nafasi, endeleza makeke
 
Nimesema hilo fumbo gumu...nimekupa mji ili utujibu yafuatayo:
1. je hiyo nyumba mnakaa familia mbili wewe na huyo mdada tu kwa kuweza kutambua chupi hiyo ni ya mdada au unaifahamu?
2. je hilo bafu halina komeo kiasi cha mtu kuingia tu wakati kuna mwingine? au ulikua ukimsubili huyo mdada?
3. apia kama kweli hauna uhusiano na huyo mdada. kwa urahisi wako wa kuiokota na kuanza kuifua hiyo chupi ni kweli una uhusiano nae
. Nalog off
1. Tuko familia tatu,wawili tumeoa ila yeye ndiye hajaolewa. 2. Mlango wa bafuni hauna komeo na muda wote unakuwa uko wazi ila mtu akiingia msalani ndio anausindika 3. Nimefanya hivyo kwasababu iliangukia ktk yale maji machafu niliyoyakoga,kwasababu lazima ufanye usafi kwa kuyafagia yale maji yaingie ktk shimo,nisingeitoa ndio ningezidi kuichafua. Nalog off
 
kinachoniuma huyu binti sijawahi hata kugusia yale mambo yetu,ila nitaenda kuangukia.Nalog off

Na usijaribu hata siku moja vinginevyo utaharibu ndao yako, na ukiharibu ndoa yako usidhani yule utakayempata atakuwa mzuri huenda akawa na matatizo makubwa kuliko huyu wa sasa. Kwa hiyo, jambo la muhimu niwewe kuhakikisha unaweka mambo sawa na mkeo na hasa kumwambia kwamba kuondoka kwenda nyumbani mbona anakuwa amekuwa nafasi ya kumpata huyo binti? Mwambia hapo anabomoa hajeng hata kidogo.

Wewe pia jaribu kutafuta angles fulanifulani ambazo zinaweza kumfanya akuamini zaidi, ni hatarini mke na mume kuishi maisha ya kutoaminiana kwa kiwango hicho inaweza kufikia mahali hata mkalishana sumu. Kwa hiyo, hakikisha kwa namna yoyote unamfanya mkeo akuamini na kuona wewe ni wake. Umesema kuna jambo lilitokea huko nyuma, eheee basi inawezekana bado una dalili zilizofanya jambo hilo litokee, hivyo futa dalili zite hizo naye atakuamini bila shaka. Haitakuwa rahisi jaribu hatua kwa hatua ataendelea kurejesha imani na hatimaye atagndua kumbe alikuwa anasumbuliwa na flashbacks (mambo ya zamani)
 
Mfuate mkeo kwa upole na utaratibu umueleweshe na uwe muwazi,ukibabaika kidogo tu ktk maelezo yako atatia mashaka zaidi ya hayo aliyonayo,atakuelewa 2 ila ucjefanya hivyo tena unaweza poteza uaminifu wote kwa mkeo
Nikienda kuangukia nitakuwa MTARATIBUUUUUU ili arudi nyumbani. Nalog off
 
Duh! leo nimecheka mpaka machozi yananitoka. Nataka kukuulizaki
tu kimoja washawasha vipi ukimkuta mkeo anafua chupi ya kidume
ambaye ni mpangaji mwenzio na tena ni bachela?


mi mwenyewe nimeshangaa kweli...mwanaume mzima unapinda mgongo bafuni kusuuza chupi ya mwanamke asiye mkeo?? ngumu sana kuingia kichwani..yaani ni ngumu sana....
 
Hadithi hii inatufundisha tuangushe chupi za majirani zetu wote wa kike, tusikusanye kwenye beseni moja, tuzifue weeeee hadi mke anikute.
Mzaha huu unauleta kwasababu hayajakukuta. Ila natamani siku umkute The Boss anaisuuza chu pi ya yule jirani yenu au mmeshahama pale mlipokuwa mnakaa zamani? Nalog off
 
Ningekuwa na nafasi ningekosoa! Inamaana hiyo maliwato haina mlango? Iweje umfungulie mlango huku unafua chupi? Hi ni novel
Mkuu mlango wetu hauna komeo,ishara tunayoitumia mtu akiwa msalani anausindika na anapotoka anauwacha wazi. Nalog off
 
Mkuu mlango wetu hauna komeo,ishara tunayoitumia mtu akiwa msalani anausindika na anapotoka anauwacha wazi. Nalog off


kuweka kome mnasuburi manispaa ije iwawekee sio? mko wengi hapo lakini hakuna anaeona kasoro juu ya huo mlango...na hapa sasa napata picha ndio maana hukuona shida kusuza chupi ya mtu mwngine
 
Mshenzi weeeeeee, umeshamla huyo na haya machale ya mkeo yuko sahihi kabisa. Kwanza umejuaje kama hiyo ni chupi ya huyo dada? vp kama na huyo dada aliikuta hiyo chupi na kwamba ni mwanamke mwingine ndiyo aloisahau sio yeye?
Ahsante,ila kwa sasa yuko peke yake hakuna mwanamke wa kike mwingine,my wife wa mpangaji mwenzangu kasafiri. Nalog off
 
Hapo huna ujanja, inabidi uombe samahani saaaaana, yaani "My wife Wako" amekukuta unafua chupi ya Mdada!!!!! Huna la kumwambia zaidi ya yeye kufahamu kuwa unakula uroda hapo. Lakini ongea naye vizuri atakuelewa ingawa hatakuamini tena.
Sawa Mkuu,niko safarini kuelekea kwao. Nalog off
 
Pole achana nae tafuta kifaa kizuri zaidi yake weka ndani atakuja mwenyewe
 
Back
Top Bottom