Kashakubali matokeo,wapo wawili SasaMwambie mkeo akaombe ushauri kwa mkuu wa wilaya ya pangani.
Teyari mkuu nimeshafanya yanguChukua huyo uliyekuwa unamwoshea chupi,then ndio umalizane nae.
Wewe zako huzianika wap? Kiafya ni vema nguo za ndani zianikwe juani.mbona hakuna tatizo kuzianua.Hata kama hakuna mvua ukiona zimekauka zianue zikunje vizuri muwekee akifika unampatia jirani yakoNimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
Nimeikuta Safi nitairudishaje chafu? Kulikuwa hakuna jinsi zaidi ya kuisuuza tu Ila hili tukio limenifanya nimuopoe huyu mremboAAh ata mi sikuamini utaanzaje kufua chupi ya mtu, mkeo yupo sahihi sana.
Kwanini usinge okota nakutundika ilipokua? Kiherehere kujitafutia ujiko kimekuponza.
Najua hilo ndio ilikua nia yako mkuu lkn kibaya unatumia kivuli cha mkeo kuonekana wewe ni mwema,Nimeikuta Safi nitairudishaje chafu? Kulikuwa hakuna jinsi zaidi ya kuisuuza tu Ila hili tukio limenifanya nimuopoe huyu mrembo
Nalog off
huyu member uliye mquote tayari ni marehemu ,tulisha mswalia dua kama miaka 5 iliyopita humu JFWewe zako huzianika wap? Kiafya ni vema nguo za ndani zianikwe juani.mbona hakuna tatizo kuzianua.Hata kama hakuna mvua ukiona zimekauka zianue zikunje vizuri muwekee akifika unampatia jirani yako
Dah!AMPUMZIKE KWA AMANhuyu member uliye mquote tayari ni marehemu ,tulisha mswalia dua kama miaka 5 iliyopita humu JF
Chai chai.Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off