Huu uzi unajua ni wa zamani sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk leo bado mnashauriOngea tu na your wife wako atakuelewa .... [emoji12] [emoji12]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kudadeq najuta kwanini nimetoa ushauri nilikua sijaangalia muda asee ni kitambo ile mbayaHuu uzi unajua ni wa zamani sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk leo bado mnashauri
Ata me nilkuwa nachangia nyuzi za zaman sanaa kipindi bado sizingatii kuangalia ni muda gan uzi umetoka.[emoji38] [emoji38] [emoji38] kudadeq najuta kwanini nimetoa ushauri nilikua sijaangalia muda asee ni kitambo ile mbaya
Umenifunza kitu mkuuAta me nilkuwa nachangia nyuzi za zaman sanaa kipindi bado sizingatii kuangalia ni muda gan uzi umetoka.
Nikiona mada nayoipenda tu japo now nimekuw makini sanaa ktk kuchek muda.
Aisee. Uswazi kazi kwelikweliLakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off
Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
Tatzo lipo kwako kabsaaaHabari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off
Hata mimi hii mada naikumbuka ya kitambo sana.[emoji23] [emoji23] mtoa mada atakua alishaoa mke mwingine,mana ni tangu 2011
Lazima niisuuze kwa kuwa ilidondoka kwa bahati mbayaKuku wewe, unawezaje kufanya jambo kama hilo hadharani ukijua mkeo yuko jirani!
Uhondo tuChupi + chupi +intention=aiiiiiiii???? Manina