Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,946
- 13,374
- Thread starter
- #401
Kkkkk kumbe unaweza kupiga Numéro kwa kutumia chupi ya watu?![]()
![]()
we sema tu ukweli ulikua unapigia nyeto chupi ya watu..jah
Nalog off
Kkkkk kumbe unaweza kupiga Numéro kwa kutumia chupi ya watu?![]()
![]()
we sema tu ukweli ulikua unapigia nyeto chupi ya watu..jah
Jf rahaaaaaaa!kama una stress we pitia jf kuna mambo duniani yanachekesha sana
Mke wangu alirudi na mwenye chupi amekuwa nyumba ndogoHata mimi hii mada naikumbuka ya kitambo sana.
Nimeidondosha kwa bahati mbaya,uhakika kama ni ya kwake kwa kuwa tunaishi sisi tu ktk nyumba hiiNawewe ulianzaje kushika chupi ya watu? Ulijuaje kua ni ya huyo mdada?
Ata mimi nisingekuelewa....
KweliUONGO
Nawamiliki wote wawili![]()
mtoa mada atakua alishaoa mke mwingine,mana ni tangu 2011
Ahsante sana Kaka kwa kukupa hiloTatzo lipo kwako kabsaaa
Teyari kashakuwa nyumba ndogochukua mwenye chupi akulipe fidia.....
Uswazi rahaaaaaaa!Aisee. Uswazi kazi kwelikweli
Uswazi rahaaaaaaa!Aisee. Uswazi kazi kwelikweli
Nyumba hiyo tunaishi Mimi,mke wangu na huyo mpunga mwengine,kwahiyo chupi ambayo sio yake ni ya huyo mpangaji mwengine,mapenzi yetu ni motomoto siku nyengine huwa anakuja kunisugua mgongoniMkuu, katika simulizi yako kunakitu kimekuharibia.
Bafu la nyumba ya kupanga ni bafu la umma.
Ilikuwaje mkeo kakufuma unasuuza chupi ya mpangaji mwenziyo, wakati ulipoanza kuoga ulistahili kulock mlango?
Hilo la kwanza, la pili ni mkeo kuitambua hiyo chupi kuwa ya nani, wakati vyupi ni nguo za sirini?
Ni hapo mheshimiwa ulipobugi kubabanganya.
Kwanini haukulock mlango wakati ukielewa kuwa hamuishi peke yenu?Nyumba hiyo tunaishi Mimi,mke wangu na huyo mpunga mwengine,kwahiyo chupi ambayo sio yake ni ya huyo mpangaji mwengine,mapenzi yetu ni motomoto siku nyengine huwa anakuja kunisugua mgongoni
Nalog off
KimeshaelewekaOngea tu na your wife wako atakuelewa ....![]()
![]()
Mlango haulockeki,halafu mke wangu alikuwa na uhakika kama Mimi ndiye nikogaye kwa kuwa yeye ndiye aliyeweka maji bafuni,kwahiyo hawezi bisha hodi aliingia Moja kwa MojaKwanini haukulock mlango wakati ukielewa kuwa hamuishi peke yenu?
Nimeikuta kuwa ni ya mpangaji mwenzetu kwa kuwa tunaishi Mimi,mke wangu na huyo mpangaji mwenzetuIngekua ya mwanaume ungeisuuza? Kuna walakini ndio maana mke hakuelewi. Tena umeshaimaki na ukaitambua kwa haraka. Huenda ulishaishika tena sio mara ya kwanza
Kha! Si anakuja kunisugua mgongoni,au wewe husuguliwi mgongoni na mkeo?hii n gahawa,mkeo ataingiaje bafuni ukiwa unaoga for what? katunge upya hadithi yako
Teyari kashakuwa nyumba ndogoKinachomtesa mke wako ni kwamba hajiamini maana mpaka hapo uko accused na kosa ambalo hujalifanya. Unaonaje ukaongea na huyo mpangaji mwenye chupi yake mkapiga show moja ili uwe accused kwa halali? ni wazo tu
Santeeeeee!pambana na hali yako
Teyari kimeshaelewekalog in kwa mwenye chupi...simple...