Chupi imeleta kizaazaa


taratibu buji!
 
Mkuu mie niko Safarini kwenda kuangukia. Mkuu kuhama hapa ninapoishi kwa sasa sio rahisi kwasababu uchumi hauniruhusu kufanya hivyo. Kuhusu hilo swali la kichokozi jibu lake ni kuwa hawa Wabangubangu ni kwamba noma hawana kabisa,wao wakizifua chu pi zao ni kawaida kuiacha bafuni hasa ktk hizi nyumba za kupanga. Nalog off
 
Kweli huna aibu wala kinyaa, yaani chupi ya mtu usiye na mapenzi naye!
 
Wewe una balaa kweli kweli, ulijuaje hiyo chupi ni ya nani ikiwa mnakaa watu kadhaa kwenye hiyo nyumba? Hilo la kwanza, la pili labda nikuulize swali: hiyo chupi ingekuwa ya kiume, nikimaanisha ya jirani yako wa kiume je, ungeisuza?

Sio mkeo tu, hata mimi sikuelewi?
 
Duuh,pole sana,tatizo ni kufikiri kilichofunikwa na chupi na si chupi kama nguo.
Maana wakati anakupelekea maji bafuni,si alihakikisha upo pekee yako na binti jirani hayupo.
Labda uhandsome wako unachangia kutokujiamini kwa mkeo,muache apumzike kidogo hasira na kihoro vipungue,baadaye umueleze ukweli kuwa chupi,hiyo ilidondoka na uliona si uungwana kuiacha kwani maji yaliyokuwa yanachuruzika bafuni na yale uliyokuwa ukijimwagia,kwa kuwa hilo ni kosa limetokea kwa uzembe wakati ukinyoosha mkono kujisugua mgongo,basi my wife wako muombe radhi yaishe.
Ila hautarudia tena.
 
Fanyeni mpango mjenge nyumba yenu muondokane na utumwa wa kupanga. Nalogg off.
 
Duuuuh imebidi nicheke sana we nawe inaonyesha umeweka mazoea fulani.na uyo bibie mpaka mkeo kawa na waswas! Halafu yote tisa kumi kufua the chupi yake ebwana daaah. . Kila mtu ana njia zake kumuonyesja mwenza mipaka gani hataki avuke nampongeza mkeo women should stop laughing at shits from men bwana! Buutt mie binafsi hatua ya mpaka kuondoka ni ya juu saa inategemea wewe ndugu itakuwa keshakuasa mara kadhaa vitu flani na uyo binti hiliblikawa kiboko!. . . Kuna sarclifices nyingi tunazifanya for the sake of our ndoa zetu. . Iyo nyumba hama kama imetishia amani ya ndoa yenu ikibid mweke mtu akurudishie kodi ilobaki kama umetoka kulipa mana ndo sababu pekeevnayoiona inawezekana ulipomjibu mdau eti kipato chako hakiruusu kuahama hapo kwa sasa? Why unakaa bure? M
Kosa lingine mnalofanya binadamu ni kuruhusu mtu amuongelee mwenzi wako vibaya machoni pako eti anaringa! Khaaa kwanza ulianzaje kwenda kwake tena na unajua hawaivi? Na sababu ni wewe duuuu yani wewe nikuonavyo uyo binti akikutaka anakupata tu. .mkeo liwe lenu wote msaidiane kutowekeana mazingira ya kujengeana wasiwasi. . .mfuate mkeo na gia kubwa yabkuhama kabisa iyo nyumba isiwe shida. .

Mwanakijiji umenichekesha ukizingatia nasikia wengine humaliza haja zao hata kwa kusikia kiharufu cha chupi ya mlengwa lol. . But sina hakika na ilofuliwa lol. .Lol
 
Mkuu samahani mie nimetoka Tz zamani mno. Mulika mwizi ni nini maana yake? Nalog off

kumbe story zoote hzo za nyumba ya kupanga, choo cha foleni, chupi za kuning'iniza mlangoni,maji ya kupeleka kwa ndoo, I thought unaishi tandale kwa mtogole au keko bondeni!! kumbe uko wp huku kwenye specs zinazomatch na maeneo niliyotaja? maana ht kama ungeishi kibera huko nako mulika mwizi ndio kwao! no wonder niliifananisha hadithi hii na zile za bulicheka na mkewe lizabeti, wakielea kwenye meza baharini!!! JF never boring - The boss
 
Mkuu ile chu pi alianguka katika yale maji yaliyokuwa yakitiririka nilipokuwa nikioga,nikaona sio ustaarabu kuiacha katika maji yale.Nalog off

L.o.l.... tuachane na bifu la wife... wewe ulitoka wapi kushika michupi ya watu, wewe huna kinyaa! Na ulijuaje ni ya huyo bibie...
 
Nimejuwa kuwa hii chu pi ni yule binti kwasababu ni G-string halafu kwa sasa yuko peke yake,mke wa mpangaji mwenzangu hayupo, jibu la swali ni kwamba ningeisuuza kwa kuimwagia maji masafi kama nilivyofanya hivi kwa ya huyu binti. Nalog off
 
Nashukuru kwa ushauri wako chanya. Nalog off
 
Fanyeni mpango mjenge nyumba yenu muondokane na utumwa wa kupanga. Nalog off.
Ni kweli nitafanya hivyo ili niondokane na UTATA nimeshaanza kununua bati halafu nitafanya mpango wa kiwanja nijenge nyumba yetu ili nijinafasi na my wife wangu. Nalog off
 
Mkuu nimelipa kodi ya mwaka mzima,nitamtafuta mtu anirudishie kodi yangu halafu nihame. Nakwenda kuangukia ili nirudi na mke wangu. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…