Chupi begani hadi karibu ya ..........

figganigga ni kwamba kistaarabu kuanza kuikagua chupi ya (huenda ya mke wa jamaa yangu nilipofikia, ujasiri huo sina!Labda unipe akiba ya maneno ikiwa mma ndiyo vipi! Na ikiwa dabwada ndy vipi !
usiumize kichwa sana. kwa kua unayo na umechukua uwamzi mzuri kuihifadhi. ukifika wambie nmeanua nguo ya mtu so mwenye nao akaichukue nmeirudisha. ukinyamaza unaweza fanya mwenye nayo asiivae tena. mia
 
Last edited by a moderator:
sasa shem.....wakati unarudi hebu pitia hapo Kericho.....kuna mazakari yangu niliacha hapo..... fanya kunifikishia tafwa'adhali.....

Shem wajua ziko mzigo zingine hazibebwangi na tarishi ?
Huo utaufata mwenyewe.
 
Yaani napata picha mume
wa mwenye pichu akushuhudie ukiirudisha hiyo nguo. Dah, na wakenya
wanajuaga watz ndo mabingwa wa uchawi. Wakikuuliza wewe wa wapi waambie
mmasai, ukitaja wa sumbawanga ama tanga kwisha kazi.

Watamgawanaje? Atarejeshwa in pieces.
 
Juu mi napendanga ngitheri, nyama hata sifyagilii. Si ukuje unichukue ama unisendia hiyo maticket ya eroplane?
Kama ulikuwepo vile kwa kicha yangu!
Fikirio hilo King'asti halikunikwepa kuja akilini !
Btw karibu ukule nyama karanga! Alafu vile zimekarangwa kwa standad natamani ukuje tukule tugedha bwanaa!
 
Last edited by a moderator:
Acha mamito. Ukizingatia wanaume wa kikenya wanahofia kunyang'anywa mabibi zao kwa kusemwa wanaume wa tz ni bora kwa macare, kuhonga na kunanihii. Watamkata matunda aisee
Watamgawanaje? Atarejeshwa in pieces.
 
kwakweli meitazaama tuu hii thread nkakaa kimya mim ila nataka ona tuu hiyo safari naona yaleta majanga tuu hebu fanya hima urudi staki kukukosa hapa hata kiduchuu mme wangu we peleka kwenye kamba au tupa chin
 
kwakweli meitazaama tuu hii thread nkakaa kimya mim ila nataka ona tuu hiyo safari naona yaleta majanga tuu hebu fanya hima urudi staki kukukosa hapa hata kiduchuu mme wangu we peleka kwenye kamba au tupa chin

My @wife wako wa kukaa silency but not you!
Mzigo wako mwenyewe aubebe nani ? Kanuni si kila mtu kufa na salaba lake?
 
Be very keen on wat u write ntaanzisha timbwili hapa

Mammiy timbwiri unalitoa wapi chitichati my lav?
Don't worry babe! You are my alpha class's single responsibility! With lovin you baby!
Generally this are not comic narrate! It's a truth story babe!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom