Chupi begani hadi karibu ya ..........


Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Wana wa Bodi , awali ya yote nimisalimieni.
Habarini za jioni !
Ifahamike naandika haya nikiwa sipo nyumbani kwangu aidha niseme niko ugenini , ambapo nimefikia kwa jamaa yangu.
Leo mchana wakati natoka hapo nilipofikia kwenda bus stage nikiwa nimevaa jacket , kwa nje palikua pameanikwa nguo kwenye kamba zilizokua takriban line 3-4 hivi.
Katika penyapenya kumbe moja ya chupi za kike zilizokua kambani ikaninasa begani.
Ule upande wa maungio ambapo ndiyo hua karibu na nanihino pale chupi inapokua maungoni ndiyo palikua pako juu ya bega langu (eneo ambalo wajeda au wasoja huwekaga nyota zao za vyeo)
Na ule upande mkubwa wa kiuno ukawa umeangukia nyuma ya bega kwa mgongoni .
Na kwakua nilitoka huku nikiongea na simu ikiwa sikio la kulia, na hukohuko kunako bega la kulia ndiko kuliko beba kabati ya wenyewe!
Hivyo ikachangia kabisaa kushtukia!
Wadau hii story aslani haina hata one element ya KICHItichati ! It's absolutely true!
Nakaribia kufika bus stage ndipo msamaria mmoja ananishtua "muzee mbona ako na chupi kwa Mgongo ? "
Na kwa vile ilikua bado mbichi ndivyo ilivyochangia ugumu wa kutodondoka.
Ndiyo nikaitoa nakuitia mfuko wa jacket , na kwakua sijarejea hapo nilipo hadi hv ninayo jacketini.
Mahesabu yangu nikirudi ndy niirejeshe kimyakimya, ama nikikuta washaanua zote naitupa chini ya kamba.
Nipeni pole basi .
 
Last edited by a moderator:
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,450
Points
2,000
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,450 2,000
kwani imetumika mda mrefu au unaona bado mpya mpya? reply nikupe mawazo ya ziada. mia
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,119
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,119 2,000
Duuuuuuuuh ni hatari sana! Pole kwa mkasa wa chupi! Ilikuwa rangi gani?
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
kwani imetumika mda mrefu au unaona bado mpya mpya? reply nikupe mawazo ya ziada. mia

figganigga ni kwamba kistaarabu kuanza kuikagua chupi ya (huenda ya mke wa jamaa yangu nilipofikia, ujasiri huo sina!
Labda unipe akiba ya maneno ikiwa mma ndiyo vipi! Na ikiwa dabwada ndy vipi !
 
Last edited by a moderator:
Erickb52

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
18,520
Points
1,250
Erickb52

Erickb52

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
18,520 1,250
figganigga ni kwamba kistaarabu kuanza kuikagua chupi ya (huenda ya mke wa jamaa yangu nilipofikia, ujasiri huo sina!
Labda unipe akiba ya maneno ikiwa mma ndiyo vipi! Na ikiwa dabwada ndy vipi !
Hahahahaaa Judgement bhana lol
 
Last edited by a moderator:
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,194
Points
2,000
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,194 2,000
duh....shem mpaka utoke huko NBI mbona utajifehemu......
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
Yaani napata picha mume wa mwenye pichu akushuhudie ukiirudisha hiyo nguo. Dah, na wakenya wanajuaga watz ndo mabingwa wa uchawi. Wakikuuliza wewe wa wapi waambie mmasai, ukitaja wa sumbawanga ama tanga kwisha kazi.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Hahahahaaa Judgement bhana lol
@52 nambieee! Vipi wewee! Inshu (issue) zikoje?
Semegi nae ako poa ?
Sindwa kusangaa Mz. Mzima tena Mzee wa @hukumu eti naambiwa nikague Chupi ? Yaani huyu figganigga sijui ameniovaluku na yule Mz. Pills bin Tablet bin Kidonge Aspro wa humu ? Labda!
 
Last edited by a moderator:
Mr.Professional

Mr.Professional

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,601
Points
1,195
Mr.Professional

Mr.Professional

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,601 1,195
OMG!!!! mzee mzima fanya kuitupa huko mitaani tu kuua so unaweza jifanya msamaria mwema wa kurudisha halafu watu wakashindwa kukuelewa likawa soo kubwa zaidi
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
OMG!!!! mzee mzima fanya kuitupa huko mitaani tu kuua so unaweza jifanya msamaria mwema wa kurudisha halafu watu wakashindwa kukuelewa likawa soo kubwa zaidi
Naro hiro neno! Iti ken bi samtaimz !
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
duh....shem mpaka utoke huko NBI mbona utajifehemu......
We acha tu mwanangu! Afu Preta hata kupanda mathree nako presha tupu! Kama ulivyosikia matatu majuzi mitaa ya Eastlegh ilitegewa kiazi , zikafa mtu 8 with the rest havin fatal injured .
 
Last edited by a moderator:
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Yaani napata picha mume wa mwenye pichu akushuhudie ukiirudisha hiyo nguo. Dah, na wakenya wanajuaga watz ndo mabingwa wa uchawi. Wakikuuliza wewe wa wapi waambie mmasai, ukitaja wa sumbawanga ama tanga kwisha kazi.
Kama ulikuwepo vile kwa kicha yangu!
Fikirio hilo King'asti halikunikwepa kuja akilini !
Btw karibu ukule nyama karanga! Alafu vile zimekarangwa kwa standad natamani ukuje tukule tugedha bwanaa!
 
Last edited by a moderator:
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,765
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,765 2,000
Pole Judgement kwa kadhia la jana ila siyo dhambi ukitumwagia yatokanayo... What happened when you returned home?
 
Last edited by a moderator:
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,017
Points
2,000
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,017 2,000
Mwenye chupi yake huenda sa'izi yuko bize anaitafuta, bora uitupe tu ujifanye hujui kinachoendelea.
Vinginevyo tegemea kurudishwa Bongo kwa kupaishwa hewani..
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,087
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,087 2,000
Kuna mada hapa ishawahi kuletwa ya wapi sehemu muafaka ya kuanika chupi, sasa naona hii ni moja ya madhara ya kuanika hovyo makufuli...
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Pole Judgement kwa kadhia la jana ila siyo dhambi ukitumwagia yatokanayo... What happened when you returned home?
Niko Kisumu rite now then nitarejea Nrb after few days, sijajua siku maalumu ya marejeo.
 
Last edited by a moderator:
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Mwenye chupi yake huenda sa'izi yuko bize anaitafuta, bora uitupe tu ujifanye hujui kinachoendelea.
Vinginevyo tegemea kurudishwa Bongo kwa kupaishwa hewani..
Nilirudi nayo late hrs na nikakuta washaanua nikaidrop majanini chini ya kamba, asubuhi around sa3 nilipotoka nje haikuwapo.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Kuna mada hapa ishawahi kuletwa ya wapi sehemu muafaka ya kuanika chupi, sasa naona hii ni moja ya madhara ya kuanika hovyo makufuli...
Na kweli mtu wangu respect ya pants mi naona nikuanika ndani.
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,194
Points
2,000
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,194 2,000
Niko Kisumu rite now then nitarejea Nrb after few days, sijajua siku maalumu ya marejeo.
sasa shem.....wakati unarudi hebu pitia hapo Kericho.....kuna mazakari yangu niliacha hapo..... fanya kunifikishia tafwa'adhali.....
 

Forum statistics

Threads 1,296,592
Members 498,672
Posts 31,253,201
Top