nilijua ni mm tu kumbe iko....hata mm iliwai nitokea siku moja nilitaka kujipepea basi nikatoa chupi ktk pochi badala ya enkachif nikaanza kujipepea nikashangaa shost anakufa mbavu ....ndio nikairudisha kwa aibu tele ktk pochiAfadhali yako,mi nilienda darasani nikawa namsaidia ticha kufuta ubao,nilipomaliza kufuta nikaingiza
mkono mfukoni ili nijifute na kitambaa,bila kuangalia si nikatoka na chupi yangu mwenyewe
nikaanza kujipangusa,kutupa siwezi na kutoka pale mbele ishu,wanachuo wanacheka mi nang'aa tu macho
nilijua ni mm tu kumbe iko....hata mm iliwai nitokea siku moja nilitaka kujipepea basi nikatoa chupi ktk pochi badala ya enkachif nikaanza kujipepea nikashangaa shost anakufa mbavu ....ndio nikairudisha kwa aibu tele ktk pochi
mekueleewa kipenz ila si wajua ulivoniacha huku
Kumbe jibu la swali nililotaka nikuulize umeshaliput hapa, okay nawe wastahili pole @oesofio .
mm hua nabebaga in any casehata sielewi ktk harakati gani mpaka nikaiweka mfukoni,sielewi hata ilifikaje mfukoni
sasa shem.....wakati unarudi hebu pitia hapo Kericho.....kuna mazakari yangu niliacha hapo..... fanya kunifikishia tafwa'adhali.....