I normally don't argue, ila the way ninavyo cross examine na ku probe watu nimegundua hawapendi. Ukinisimulia kitu inakuwa ngumu kutikisa kichwa bila kutaka kujua material facts.
Mfano kuna dada alikuwa anasimulia darasani kuwa yeye ana mapenzi ya hali ya juu na kazi yake (ni program coordinator wa NGO moja huko Guantemala). Wakati wenzie tunatafakari ni jinsi gani wafanyakazi wa NGOs wanaweza ku get poor people involved into their projects kwa kuwa in most cases they are not interested to, yeye akaja na story jinsi anavyofanya kazi hata kama watu watano tu wata turn up into her project ili mradi anajua with time wengine watavutiwa. Watu wakawa wanamsikiliza kwa umakini mkubwa. Mimi nikajikuta nachombeza kabla hajamaliza kusimulia "but you get your salary". Wacha akasirike, japo alijibu wakati mwingine silipwi huwa na volunteer lakini nilimuona kawa mdogo nikajisikia vibaya sana.
One and Only //huyu Mbu anataka kuleta balaa hapa..anatufanya watu wazima tu'jifunue' hadi ndani ah. ama kweli
kitendo cha wewe kugundua weakness yako its a very big step katika maisha yako na kupunguza au kuondoa kabisa hilo tatizo la ubishi, jitahidi kupunguza kwasababu huwa inawafanya watu wengine kuogopa kutoa mawazo yao mbele yakoMbu thanks kwa thread hii, very educative!
Asante Lizzy kwa post zako, zimenisaidia sana kutambua au kukubali one of my huge weakness "ubishi"! Tangu nakuwa naambiwa mi mbishi, lkn sikubali u know why? Huwa naona watu hawataki kunielewa tu!
Lkn baada ya kutoa character za mbishi; kuwa huwa anakatisha maongezi/maelezo ya mwingine midsentence ili aargue, yaani ni kama umeshakutana na mimi vile! Thanks!
So that ma weakness, imeniathiri sana ktk relationship! How?
1: Ninawafanya some men wajione hawafai!
2: Mwanaume ambaye ninamshinda argues zote; namuona hafai not man enough
3: I end up with more mature n more educated somewhat macho men, ambao after sometime nawaona nao hawafai!
Other weakness of mine ni principality! Najaribu kuwa flexible but nikiona how others r suffering kwa kujitoa na kusahau ndoto zao na puporse za life naona l am better of being who l am!
Ila la ubishi nitapunguza coz naona kuna watu wameanza kunikimbia hasa kwenye group work (workshops)
Mbu thanks kwa thread hii, very educative!
Asante Lizzy kwa post zako, zimenisaidia sana kutambua au kukubali one of my huge weakness "ubishi"! Tangu nakuwa naambiwa mi mbishi, lkn sikubali u know why? Huwa naona watu hawataki kunielewa tu!
Lkn baada ya kutoa character za mbishi; kuwa huwa anakatisha maongezi/maelezo ya mwingine midsentence ili aargue, yaani ni kama umeshakutana na mimi vile! Thanks!
So that ma weakness, imeniathiri sana ktk relationship! How?
1: Ninawafanya some men wajione hawafai!
2: Mwanaume ambaye ninamshinda argues zote; namuona hafai not man enough
3: I end up with more mature n more educated somewhat macho men, ambao after sometime nawaona nao hawafai!
Other weakness of mine ni principality! Najaribu kuwa flexible but nikiona how others r suffering kwa kujitoa na kusahau ndoto zao na puporse za life naona l am better of being who l am!
Ila la ubishi nitapunguza coz naona kuna watu wameanza kunikimbia hasa kwenye group work (workshops)
Haaa Mbu ana balaa but MJ1 mamy hapa ndio mahali watu wazima wanapoweza kujifunua na kuona ya wenzao, wakajifunza mazuri mabaya wakayarekesha, ni very challenging kwa mtu kujua +ve zake na -ve zake na kujifanyia tathmini. Huoni mamy kuwa umepata nafasi ya kugundua ya undani mwako zaidi, haaa haaa safi
kitendo cha wewe kugundua weakness yako its a very big step katika maisha yako na kupunguza au kuondoa kabisa hilo tatizo la ubishi, jitahidi kupunguza kwasababu huwa inawafanya watu wengine kuogopa kutoa mawazo yao mbele yako
Thanks; ila kuna situations nyingine nikiamua kulet it go l mean nisiargue, watu wanaona au nimedharau (l think dharau is my other weakness) au nimeboreka! I am very readable, l mean expressionwise na siwezi kuhide hisia; kwahiyo kama l am not well convinced bado mtu atajua hata nikimwambia l aggree with you!Currently nakaa na nephew wangu, a teeneger kamaliza form 6, napata shida what not to do! Ni argue au nimuache awin, sitaki apoteze confidence na pia nataka awe ana question every assumptions! Coz sometimes l argue ili kuexplore other options! So shida yangu ni how to let a person win an argue na afeel kweli amewin!Again nawashukuru sana for this!kitendo cha wewe kugundua weakness yako its a very big step katika maisha yako na kupunguza au kuondoa kabisa hilo tatizo la ubishi, jitahidi kupunguza kwasababu huwa inawafanya watu wengine kuogopa kutoa mawazo yao mbele yako
Haaa Mbu ana balaa but MJ1 mamy hapa ndio mahali watu wazima wanapoweza kujifunua na kuona ya wenzao, wakajifunza mazuri mabaya wakayarekesha, ni very challenging kwa mtu kujua +ve zake na -ve zake na kujifanyia tathmini. Huoni mamy kuwa umepata nafasi ya kugundua ya undani mwako zaidi, haaa haaa safi
Thanks; ila kuna situations nyingine nikiamua kulet it go l mean nisiargue, watu wanaona au nimedharau (l think dharau is my other weakness) au nimeboreka! I am very readable, l mean expressionwise na siwezi kuhide hisia; kwahiyo kama l am not well convinced bado mtu atajua hata nikimwambia l aggree with you!Currently nakaa na nephew wangu, a teeneger kamaliza form 6, napata shida what not to do! Ni argue au nimuache awin, sitaki apoteze confidence na pia nataka awe ana question every assumptions! Coz sometimes l argue ili kuexplore other options! So shida yangu ni how to let a person win an argue na afeel kweli amewin!Again nawashukuru sana for this!
I am so sorry, kwa kuwa sikuiona hii thread mapema,
Lakini, Mbu napenda kukwambia kuwa umeileta mahali pake haswa,
nataraji kuwa hii michango ya wadau hapa ndio hasa hulka/tabia/mienendo yao,
kiukweli inatupa mafunzo na uzoefu mbalimbali katika mahusiano yetu.......
Binafsi, nipo very social!kiukweli napenda sana kujichanganya na makundi,
mbalimbali katika jamii, regardless of their differences in culture, age, wealth,level of education etc.
Nimekuwa hivyo katika makuzi yangu, na ndivyo navyoishi!
naweza kujikuta najichanganya na watu, na tukafurahia maongezi na maisha kwa pamoja,
bila kinyongo wala chembe ya dharau!nikitoka hapo roho yangu kwatu kabisa, na furaha tele moyoni!
Tatizo: Kiukweli mwenzangu hafurahishwi na hili,
hapendi mimi niwe mrahisi kiivyo (kama ambavyo yeye huwa ananiambia), kwamba kila mtu naweza jichanganya nae,
Na furaha yake ingetimia kama angeweza kunichagulia rafiki,
ambae kwa mtazamo wake anaona kuwa huyo ndo angenifaa!!!!!!!
Kiukweli yeye anakwazika, na mimi najaribu kumsikiliza lakini bado inakuwa ngumu kidogo kuipractise hii...................
Mbu mie nina tabia moja.......sijui kama ni mbaya au vipi........nikikosewa na kama hujayarekebisha, huwa nina'mute' mpaka kwa bibi...........yaani hata unitekenye vije 'bibi sijamfungua' na si kwamba nafanya kukomoa la hasha....... hata nikisema nimfungue 'bibi' hupata maumivu makali (nadhani ni psychological effects)........!!!
Huwa ninaamini kuwa kuna connection kati ya "bibi" na hisia. lol .......but huwa niko flexible nikiona umekaza buti (hutaki kuzungumzia lililotokea) huwa ninachukulia kuwa kwa wewe kutaka 'bibi' (Hapa kama umekosea yaani hata mwezi nitasubiri........sianzi wala kuchokozai!!) ni ishara ya wewe kutaka suluhu......sasa ole wako nimpe ruhsa 'bibi' halafu kesho we uendeleza mnuno..................ah sahau
Aisee nimecheka mpaka basi lol, afadhali nimefungua hii thread leo jumatatu na bahati nzuri nimeanza na kichekol
Mimi kwa upande wangu nina hasira za karibu sana ila nashukuru huwa zinawahi kuisha na zikiisha zimeisha sikumbuki tena kama uliwahi niudhi. Ila siwezi kabisa kuweka kitu rohoni eti uniudhi halafu nikae kimya lazima nikwambie ili moyo wangu ubaki na amani, maana nikiwa na kitu rohoni huwa nahisi nakwabwa sijui na lijidude gani hivi.
Tabia ya pili hehehehe hii wengi sana wanaipinga na inanicost mara nyingi sana asee. Nina binti ninaempenda kuliko maelezo na imejengeka tabia kwa watu kwamba wazazi huwa hawaachani so ukiwa unawasiliana nae basi nyinyi mnakumbushiaga kitu ambacho kwa upande wangu nilishajiapia katu sitokuja kumbushia uhusiano nae kwani ni sawa na kujidhalilisha. Ila mawasiliano nitawasiliana nae vizuri sana kwa ajili ya binti yetu sioni haja ya sisi kununiana kisa tulizaa na kuachana.
Sasa hii tabia hii haikubaliki kwa wengi ila ndio hivyo sitoweza kuacha eti nimnyenyekee mpenzi ili asiudhike halafu maswala muhimu ya mtoto baba awasiliane na watu wengine kama mpenzi haniamini wakati niko na yeye basi katika hili kwa kweli ni ruksa aende tu.
Bacha nimependa tabia yako.
hapo kwa weakness hapo wala si kubwa.........nadhani ni vema ukamwelewesha mwenzi wako faida na hasara unazozipata unapofanya hivyo na ukampa nafasi ya yeye kukuelezea why anahisi anakwazika au si vema. But kwa mtizamo wangu hiyo si tabia mbaya ni kiasi cha wewe kumwelewesha (na pengine kumtoa hofu) wifi. Na nina uhakika atakuelewa
Asha kulikoni umebadili ID? hujambo lakini?Maty nimeshindwa kabisa vumilia for umenikumbusha the Jerk!!! (sorry mbu off topic....)
Asha kulikoni umebadili ID? hujambo lakini?
Nipo ok.Ule uzi nahisi kuna wakubwa uliwagusa pabaya,ndo mana huwa sipendi kuvinjari kule maana thinking yangu kuhusu siasa kwa ujumla wake inatofautiana sana na wana JS walio wengi.Ningefurahi sana kama tungeongozwa na philosophers kuliko wanasiasa.Usijali lakini madogo tu hayo.Bishanga mzima wa afya... ilinibidi kubadilisha for special reasons...
Hata ivyo, uzi wako wa jana wa jukwa la siasa umetupwa wapi??
Mi nileependa sana...
Naamini nawe Mzima B.
Nipo ok.Ule uzi nahisi kuna wakubwa uliwagusa pabaya,ndo mana huwa sipendi kuvinjari kule maana thinking yangu kuhusu siasa kwa ujumla wake inatofautiana sana na wana JS walio wengi.Ningefurahi sana kama tungeongozwa na philosophers kuliko wanasiasa.Usijali lakini madogo tu hayo.