Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
- Thread starter
- #21
Hahahhahhah...bwoi!!Well ili nisichukiwe kwa kuchakachua thread ya Mbu ngoja niungame angalau kitu kimoja japo nilishapanga ntakua mwangaliaji tu.Siku chache zilizopita nimeambiwa kwamba NAFIKIRIA SANA na kuchambua mambo kupitiliza kwahiyo mwenzangu inabidi awe mwangalifu kweli na anayosema!!
...Lizzy bana, hii ni JF where we dare to talk openly... mchana kweupee!
Wewe mwaga maujuzi tu hapa. Am your fan, please usibadilike!
Mwaga maujuzi hapa,...chambua pumba na chuya!
Unajua unapompenda mtu mapungufu yake yote unayapuuzia (ukizingatia hakuna mtu asiye na mapungufu), lakini pale unapoanza kumchoka au penzi linapoanza kuwa baridi ndipo unapoanza kutafuta visingizio..., kwamba huyu sijui siku hizi yukoje..., kumbe ni kwamba badala ya kumuangalia kwa jicho la upendo sasa unaanza kumuangalia kwa chuki na ku-concentrate kwenye mapungufu yake.
Spot on!!!
That's Exactly what am talking about here.
Ndio maana nimeanzisha thread hii ili kwamba kila mmoja wetu ajichambue na kuyaweka wazi mapungufu yake kwanza kabla ya kuanza kuwalaumu wenzetu pale penzi litapokuwa limefikia phase three...
Hakuna kitu mbaya 'kuficha makucha,' halafu pale penzi linapoanza kuzoeleka na makucha kujitokeza unaanza kumlaumu mwenzako etu hakuelewi. Itakuwa ni Kweli hakuelewi bana, maana ulikuwa umeyaficha mapungufu yako.
Kama ni Mbishi, usione tabu kumbishia tangu day one ili akuzoee... LOL!