kantananati
Member
- Dec 11, 2019
- 14
- 30
Baada ya kujichanga kwa muda mrefu sana mwezi wa 6 nategemea kuvunja kibubu kuchukua kagari ka kupiga nako misele town.
Kwa hiyo wakuu naomba anayejua chuo kizuri cha udereva chenye ada nafuu na ratiba isiyobana anipe muongozo.
Napendelea Chuo kiwe katika wilaya ya Ubungo. Muda wa mafunzo uwe weekend.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app