Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

Tanzania mi najua chuo kikuu ni udsm peke yake...................kusoma vyuo kama Jordan ni kuweka future yako rehani
Mtu kama wewe ndo wenye mawazo kuwa nchi haiwezi kwenda bila CCM!!!!pole maana ni msiba kwako..........!si tatizo kuwa na mimba ikiwa tu viwango vyao vya elimu vitaendelea kuwa vizuri,ni watu wazima wenye uwezo wa kufikiri............,kupanga ni kuchagua!!!
 
Si ajabu na wala si kosa kupata mimba,ila mimba zinapokuwa nyingi hapo chuoni kana kwamba kuna mashindano ya kuzaa lazima watu washangae.Hv hawajui matumizi ya condom? Tulieni dawa ikolee!
Kanisa haliruhusu matumizi ya kondomu ndio maana mimba zinakuwa za kumwaga!
 
Humu ndani wengi bado wana akili ya sekondari, hii mada haina maslahi kwa taifa.Kumbuka vyuo wana soma watu wazima sio nursery pale
 
heri mademu wanaobeba mimba na kuitunza mpaka wazae maana wanaonesha kuwa ni good mothers.kumbuka kuna wengine wanatupa kila kukicha na mnaojidanganya kuwa wasiopata mimba ndo wanatumia kondom mpo hatarini
 
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.

Mara 100, wanafunzi wa kike waji-fungue kuliko ku-toa mimba hovyo hovyo
 
no problem, as long as waliobebeshwa ujauzito hawaoni tatizo na ujauzito wao hauharibu taratibu na vision za chuo!
 
Wamekulia demu wako nn maana sioni tatizo au kwakuwa chuo ndo kinaanza? Fanya kuuliza vyuo vingine upate picha halisi. Hawa dada zetu kupata mimba kwao ni presteji kwahiyo si jambo la kushangaza.
 
naona mtoa mada hajajiuliza kabla ya kuposti nna mashaka na uwezo wake wa kutafakari mambo
 
Tatizo liko wapi? hao si watu wazima, wana haki ya kuwa na watoto. Tatizo lako ni nini? Sheria haikatazi kuwa na mtoto ukiwa kwenye level ya chuo.
 
Dah kuna mijitu mingine jf cyo mahala pao kabisa unaelewa maana ya university?ukiwa university oa lewa jiuze vuta bangi is up 2 u cha msingi usisup na kucarry au kudisco pia chuo gani tz hakina wajawazito mi nipo ud mwaka wa 3 nipo na wangu na tumepata mtoto mwaka wa 2 tatizo nini maisha ni kupanga acha umbulula
 
kwani vyuo vingine hamna wajawzito! kila mtu na maisha yake! kwan tatizo nini kama kusoma unasoma!
 
MIMI sioni tatizo soma KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 1977, [CAP 2 R.E 2002] ibara ya 13(1),, 14, you will know that what you are claiming is non sensical and of no sense
 
Back
Top Bottom