Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

Sango Ochwera

Member
Mar 20, 2013
98
26
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.
 
Si ajabu na wala si kosa kupata mimba,ila mimba zinapokuwa nyingi hapo chuoni kana kwamba kuna mashindano ya kuzaa lazima watu washangae.Hv hawajui matumizi ya condom? Tulieni dawa ikolee!
 
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.

Kumbe walikuwa wanakulana kwa chukuchuku
 
acha roho mbaya wewe unakwazika vipi na watu wazima kuzaa na kule watoto wao!!na bahati yako na wewe ni wa kiume ungeshapigwa mimba siku nyiiiingi!
 
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.

So what?
 
Wanachuo ni watu wazima wanaopanga maisha yao......
Wanajua mbivu na mbichi na wanajua njia za uzazi wa mpango.....

Wanaweza kuoa au kuolewa

Wanajua kuwa kupanga ni kuchagua
 
Sioni tatizo lolote hapo, na hiyo haipo hapo tu ni vyuo vyote tu. Tembea japo hapo jirani SUA ujionee hali ilivyo.
 
Hv wewe huna kaz ya kufanya? Kwa hyo kama hao n wake za watu wasipate ujauzito hakyanani ushigongolist upo uwii!
 
Back
Top Bottom