Chuo hiki kichunguzwe

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Nimesikia matangazo radioni:tumaini na clouds wanatangaza chuo kinachotoa mafunzo ya mifugo ndani ya miezi 3 tu na mhitimu atakuwa na uwezo wa kusimamia kazi za mifugo popote, tena anayetaka kujiunga abebe mizigo yake akifika anajaza fomu na kupokelewa hata kama amefeli form four. My take: hii ni aibu hata kwa vyombo vya habari kukubali tangazo kama hili, udaktari wa mifugo SUA wanasomea miaka 5 hata animal sayansi tu ni miaka 3
 
Mkuu fuatilia kwanza utakuta wanatoa mafunzo ya jinsi ya ufugaji bora wa mifugo na sio udaktari wa mifugo
 
No, yaweza kuwa kuna mistake katika tangazo ama basi wanatoa training ya vitu fulani katika taaluma ya mifugo. Otherwise, tusiruhusu elimu ya nchi hii kuchezewa.Wakatabahu
 
Mh hao watakuwa interchick labda wanataka kutoa cheti cha ufugaji wa vifaranga....
 
Back
Top Bottom