karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,800
- 3,269
Wangebaki ktk kilimo tuWewe unaijua SUA,huu ndio uhalisia,hakuna elimu pale.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wangebaki ktk kilimo tuWewe unaijua SUA,huu ndio uhalisia,hakuna elimu pale.
Wewe ni chizi Kama mpwayungu ..kwa hiyo unadhani wote wana ndoto Kama zako? Kuna watu ni makamishna kwenye mawizara na Wana BA au Bsc with educationKuna watu bado wanasomea uticha hapa tz....pole sn mwanazengo
Wakurugenzi,ma DEO, Katibu mkuu Elimu watakuwa wachoma mkaa?Nashauri kabla hajachukua maamuzi ya kwenda kusomea ualimu.. Mpwayungu village atoe maoni yake kwanza.😄😄
IFM hawatoi course ya ualimu acha kupotoshaOngea IAA na IFM
Mkuu uko vizuri sana, nimeokota mengi mazuri sana uliyoandika hapa. Ww ni mtambo, wewe ni mashine haswa...Labda nikueleze kitu
Shule nyingi waliosomea ualimu na walimu Tanzania hawajui kugeuza ualimu wao kuwa biashara
Mfano mzuri ni Uganda. Uganda walimu wazuri wa masomo tofauti huungana pamoja na kufungua shule ya Private
Wao wenyewe wanakuwa wamiliki na walimu.Uganda shule nyingi za private zinamilikiwa na walimu sio watu wa mitaani
Mfumo huo Hapa kwetu unakuta shule inamilikiwa na darasa la saba kaajiri walimu
Sisi elimu ya kujiajiri hata hatujui maana yake.Mfano wahindi na waarabu kama ana biashara inategemea kama ni ya usafirishaji anapeleka watoto kwenda kusoma digrii kama za Transport management, Business administration, Mechanical Engineering nk related subjects.
Kama ana hospital anapeleka watoto kusoma course related na hospital kama medicine,pharmacy nk
Kama mkulima anapeka watoto.kusoma digrii za kilimo nk
Sisi ndio maana biashara za kiswahili hufa mwenyewe akifa.Mtu ana malori na mabadi anampeleka mtoto kusomea udaktari kisa ohh akimaliza apate ajira serikalini anasahau ana biashara yake inahitaji mtu wa ku take over
Ona kampuni kama ASAS mzee alikufa siku nyingi kampuni inakwenda vizuri watoto wame take over
Azam pia mzee wa watu darasa la pili aliishia ila watoto kawapigisha shule hasa za biadhara Azam inapaa
Mo Dewji baba yake alimsomesha mno mambo ya biashara ona kampuni inavyoenda
Matajiri waswahili hawajui hilo
Wanawaza cheap labor tu badala ya kuingiza kwenye kampuni mtoto wako mwenyewe aliyesoma vitu vipya aendeshe hiyo kampuni kisasa na aweza jituma mno sababu ni mmojawapo wa wamiliki wa kampuni
Waswahili hawatoi hisa kwa watoto